Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Sheria za kupata viza za wanafunzi nchini Uingereza zinatarajiwa kuwa ngumu zaidi- baada ya kuibuka wasiwasi kuwa mbinu za kuingia nchini humo kwa minajil hiyo hutumiwa kiudanganyifu Waziri wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana jf, kwa yeyote anaeweza kunipatia link za kudownloads notice za Physics for A lever,hasa za topic ya geophysics na link za masomo geography & chemistry nitashukuru kama nitafanikiwa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kuwasilisha mada kwenu kwamba"Nini kifanyike kuwasaidia wadogo zetu waliofail mitihani yao ya mwaka jana?" kwa kuwa wengi wamepata alama za 0 na hawawezi kujiendeleza kielimu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
BIOLOGY HOME WORKS SERIES For advanced level students, observe the date and day please MONDAY 21/03/2011 1. A biologist isolated a sample of an enzyme called lactase from the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkipata nafasi naomba mtembelee hiyo website hapo juu. Pia wajulisheni na watu wengine kama mtaona ina manufaa. Natumaini wengi wenu mtanunua kitabu chake na hata kujiunga na kozi zake.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Poll Poll
jamii ya wanafunzi madaktari wa chuo kikuu cha tiba cha tumaini tawi la kcmc hapa moshi,kupitia makamu wa ras wa uongozi ulipita (2010),juzi alichukua fursa pekee na kutangazakuwa muda wao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Usishagae hii kukaa jukwaa la elimu, hii ni kozi kamili kama kozi zingine. I have found this interesting, may be you too...If you are going to find it interesting do not forget to hit a thanks...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tumeona tume ya kuchunguza matatizo ya mikopo haina mwakilishi wa wanafunzi hata mmoja. Ni jambo la kushangaza kuona tume imejaa upande mmoja tu wa CCM na serikali hata wanafunzi wangeshirikishwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
In the online world you don't need to fill buildings or lecture theatres with people and you don't need to be trapped into a lecture timetable," says Peter Scott, director of the Open...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Majuzi nimesoma kidogo habari za huyu mwandishi wa vitabu. Ni mwanamke Mnyarwanda ambaye alipata mikasa mikubwa wakati wa genocide. Ameandika vitabu vitatu kuelezea maisha yake katika kipindi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF For those that were introduced to Geography understand the significance of 21st March. This time when the sun shines equally on a planet Earth (means on Equator). Not only...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Schoralship hizo wandugu, mtanzania mwenye vigezo na aombe.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtihani wa maarifa ya dunia: 1.Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi? 2.Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake? 3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwa nini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
A research from the World Bank suggests that Tanzanian graduates are missing out on good jobs because university teaching does not place enough emphasis on practical skills. One report says...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In Her Own Words: A Young Tanzanian Woman Working Towards Success I'm Elizabeth David. I'm 19 years old and I live in Kilimanjaro, Tanzania. I study at Arusha Secondary School, which is a...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimetatizwa na Serikali kutokuwachagua vijana 29 kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita eti kwasababu wanaumri unazidi miaka 25! Je serikali inakumbatia ujinga? Nafikiri ingekuwa bora wale...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
17 March 2011 Fredy Azzah RAIS Jakaya Kikwete, amesema serikali imebuni mpango maalumu wa kutumia mkongo wa mawasiliano, ili kukabiliana na upungufu wa walimu katika shule za sekondari nchini...
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Habari ndugu wadau wa elimu, samahani naomba ufafanuzi katika hili, mtoto wa darasa la kwanza kweli anatakiwa kufundishwa haya yote kwa umri wa miaka 6-7 alionao? 1-kiswahili 2-english...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Is the Status of the Teaching Profession Linked to Quality of Instruction? at newlearningonline Vipi hapa kwetu Tanzania? U.S. Is Urged to Raise Teachers' Status...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…