Mtihani wa maarifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtihani wa maarifa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Matti, Mar 21, 2011.

 1. Matti

  Matti Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mtihani wa maarifa ya dunia:

  1.Kama hela haioti kwenye miti, kwanini bank zina matawi?

  2.Kwanini gundi haigandi kwenye chupa yake?

  3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwa nini bar kuna parking?

  4.Kama neno abbreviation linamaanisha ufupisho, kwa nini lenyewe ni refu hivyo?

  5.Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa tu, Kwanini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa?


  Nipe majibu.
   
Loading...