Uchaguzi wa rais chuo kikuu cha tiba kcmc moshi 2011

Nani kati ya hawa anafaa kuwa Rais wa wanafunzi Kcmc College?

  • LUGANO(MD2)-URAIS

    Votes: 0 0.0%
  • HANSBERT(MD2) MAKAMU WA URAIS

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

kcmc-students

Member
Sep 9, 2010
15
0
jamii ya wanafunzi madaktari wa chuo kikuu cha tiba cha tumaini tawi la kcmc hapa moshi,kupitia makamu wa ras wa uongozi ulipita (2010),juzi alichukua fursa pekee na kutangazakuwa muda wao umekwish n hivyo wanatoa nafasi zawanafunzikuchuku fomu kwaajili ya nafasi za urais na makamu wa urais 2011.

TUMETOKA WAPI:
Takribani miaka mitatu imepita tokea tuwe na serikali zenye tija na mrengo wa kutatua matatizo na kuzikabil changamoto za wanafunzi ,hasa matatizo yale yatokanayo na utawala wenye kukandamiza na kuepuka kutatua matatizo ya wanafunzi kama wajibu wao na pia kuweka mazingira bora na yenye kukidhi viwango katika kupata elimu bora.

MASHUJAA WA UONGOZI
Ni dhahiri na imeonekana ya kuwa katika vipind vitatu vya uongozi ,serikali mbili zilizofuatan ,zimefanya makubwa katiba kubatilisha na kufanikiwa kuwa na mfumo bora wenye bora wa kut elimu na ushirikishwaji wa wanafunzi.

serikali ya mh.mhogendwe twilumba ilianza mchakato huu wenye rasimu kuu ya kulet majadiliano kwenye meza na kujidhatiti kuondoa umungu mtu katika kila jambo linalomgusa mwanafunzi.
meneo makuu yalihusu ada ya chuo, vifaa elekezi na wakufunz apa chuoni.sehemu za majadiliano wakati mwinginepaligeuka sehemu yenye vitisho na malumbano hasa ukizingatia,maeneo hayo yamekuwa yakihusishwa na ulaji ya baadhi ya watu(wakuu wa kcmc charter-prof.martin shao,dr.msuya(paedriatician kcmc),prof.shao(vice chancellor tumaini university),provost-egbert kessi,n etc).
pamoja na kuyumbishwa huko kupitia serikiyeke iliyokuwa na mfumo bora nambinu za kiutendaji ilifanikiwa kuweka mipango madhubuti katika kutatua kila kwa wakati na kufikia hatua ambayo iliridhisha mpaka pale alipoondoka madarakani.

mh.desdery katoto ,anayeaga madaraka alipokea mikoba hiyo na kuendeleza yale aliyoyaacha twilumba.
bila kututetereka ndugu yetu huyu alifanikiwa kupigania wanafunzi katika maeneo yale muhimu.
kwa kushirikiana na wanafunzi mwishoni na mwanzoa mak huu,mapinduzi makubwa yalifanyika na kugeuza taswira ya chuo.

TUELEKEAPO KWENYE KINYANGANYIRO CHA UCHAGUZI
wanafunzi wengi wamekuwa katika hmu ya kujuani nni ameshajitokeza katika kuchukua fomu,ila kwa utamaduni wa kcmc ,wagombania huwa na kasumba ya kunyamaza kimya mpaka wakti w kampeni,hi huwa ni moja ya masharti ya tume teule ya kuongoza uchaguzi.
kinyumena hapo basi mwanafunzi mgombewa huweza kuondolewa kwenye kinyanganyiro hicho.
mategemeo makubwa ni kwa wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao walikuwa chachu na watetea haki katika kipindi hichi kigumu cha maandamano.bila ya kuwasahau ndugu zao mwaka wa pili walionyesha mshikmano na kuunga mkono hoja za mwaka wa tatu kama walivyofanya na wanafuzi wengine hapa chuoni.

kumekuwa na hisia na matarajio ya kuwa raisi ni mwaka wa tatu na ikiwezekana na vice wake pia.

TETESI
mpaka sasa kwataarifa zilizotufikia ni kwamba mwaka wa tatu upande wa udaktari kumekuwa na mtizamo mkubwa na matuamaini ya wanafunzi,ikiwa ni juu ya sura na heshima ililojiwekea darasa hilo na kuwa na uwa na watu wengi wenye sifa z uongozi na kujituma kwa kujitolea zaidi .
hivyo jamii ya kcmc imekuwa ikidadisi kwa muda ila darasani mao Jackson Ilangali(uraisi) ametangaza nia ,tayari amechukua fomu na kurejesha pamoja na mwka wa pili Lugano(urais) na mwenzie hansbert(uraisi)na mselle.



MVUTO WA KISIASA
mpaka sasa imekuwa ni gumzo ni kwa njia zpi ndugu zetu hawa wa md2 wataweza kumpiu huyu mheshimiwa mtarajiwa,na hii ni kutokana na kutokuwa na nguvu ya kisiasa na ushawishi.
hivyo jackson amepewanafasi kubwa ya kuwa kiongozi bora na safi katika kinyanganyiro hicho.

kutokana na hali ngumu iliyowapata wagombea hao ,baadhi yao wameamua kurudisha fomu za uraisna kuchukua za umakamu urais(hansbert-md2).
hii ni kutokana na hofu yakukubwa na aibu wakati wa kuhesabu kura.

wakati wenzie wakimpongeza kw uamuzi huo na kuona wa busara,ni mategemeo yao md2 kwamba hata lugano naye atajirudi na kuchukua fomu ya u vice .hii ni kutokana na uchanga wake katika siasa na kushindwa kujipanga vyema katika kuzungumza kwani wakati mwingi hutumia jazba na hutamani hata kuruka wapo jukwaani-hii hupoteza dira na hoja na kuishia kusisima na kuamsha hisia za kupotoza.

kijana msele kwa upande mwingine amekuwa ni mkombozi wa vijana hao,hiyo ni juu ya umakn na ushapu wake katika utendaji katika masala mbalimbali ,hivyo kijana huy pia anapewa nafasi kubwaya kuwa makamu wa uaisi chuoni hapa.

KAMPENI CHAFU
tayari baadhi ya wagombea hsa wle waliokos dira wameaanz akutumia kampeni chafu kwa kupandika maneno ya uwongo na hisia za kutokuwa na imani ya kijana wa md3 jackson.
wakidai kuwa haungwi mkono na darasa lake,hii si kweli kabisaa kwa wakati tunahojana na baadhi ya md3 -wameonekana kufurahishwa nauamuzihuo wa kijana wao mteule na kumuunga mkono kijana wao huyo kwa asilimia 100.

wakati huo huo wamekuwa akipigna vita wao wenyee wakidai baadhi ya wagmbea ni wabinafsi na wapenda madaraka na kufanya watakayoamua wao kiubabe hasa wakimlenga bwana aliyejirudi hansbert:-ambaye amejibu kuwa watu wa darasani kwake wamkuwa na fuitna za kutaka yeye ashindwe na wakati yeye anaamini ya kuwa uwezo wa kushinda anao .

TUTEGEMEE I NINI KWENYE VIONGOZI HAWA.
tafadhali tunomba kra zako za maooni ,endapo utapenda ni nani katiy awa awe raisi wako n pia unaweza kuandika maoni yako .tafadhali kuwa mwaminifu a piga kura mara moja.


Akhsanteni.

mimi mpiga kura.
 
Back
Top Bottom