Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

kwa wale MLIOMBA tcu na majina hapa
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenyu wana JF? Nimekua nikipata shida na wasiwasi mkubwa kwa elimu yetu ya Tanzania hasa kutokana na namna mbalimbali zitumikazo kuwapata wasomi wa shahada mbalimbali za elimu ya juu...
0 Reactions
2 Replies
44K Views
Wadau. Mi naona sasa ni wakati muafaka wa kujadili kwa kina kuhusu mtihani wa kidato cha pili kuendelea kuitwa wa Taifa. Hivi una mantiki kweli! We jiulize kama wanaenda wote kidato cha tatu...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
HIGHER EDUCATION STUDENTS' LOANS BOARD Website under maintainance, will resume today 23th August 2011 by 6:00pm
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi nimesikitika sana watz wenzangu je nyinyi mmelipokeaje? Ishu ni kwamba wahadhiri walikuwa wanamadai ya msingi kwa uongozi wa chuo hicho kilichokuwa na sifa zamani lakini sasa kimegeuka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
SECOND SELECTION APPLICANTS TO PLEASEREAD 1. Introduction Second round of application is officially closed. This roundwas for applicants who did not apply during the first round of applications...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tatizo la upungufu wa walimu hapa nchini hususani shule za serikali linapelekea wanafunzi wengi hasa watoto wa wakulima kutofanya vizuri katika masomo yao na kuishia kufeli vibaya. Serikali...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana jf hatimae ifm wametoa wanafunzi waliochaguliwa kusomea degree mbalimbali@ source; ifm website....
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Majina yatatoka mwanzon mwa september pamoja na asilimia za mkopo utakazo tunukiwa. Source EA RADIO.
1 Reactions
30 Replies
4K Views
kwasababu wanatoa hahadi alafu hawatekelezi,mfano kujenga nyumba za walimu ambazo ndiyo ni sababu ya waliomaliza chuo na hawaendi kufundisha ukiwauliza hakuna maitaji,mfano mwingine vifaa vya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa mara yangu ya kwanza Tanzania chuo kinafungwa sababu mkuu wa chuo na walimu wahihitilafiana wanafunzi waahirisha masomo.naomba ufafanuzi kwa wanaoelewa jambo hili
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Baada ya wizara ya elimu kuridhia uanzishaji wa shule za binafsi na kuona utitiri wa shule zisizo na ubora sasa hali hiyo imehamia kwenye vyuo vikuu.sasa hivi kuna vyuo vikuu miundo mbinu yake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wandugu naomba kufaham mchanganuo wa pesa inayolipwa bodi,make nasikia ya meals and accomodation huwa hairudishwi HESLB,nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Computer is an electrical machine capable of installing and processing large amount of data or information and performing calculation and other things.Computer as computer can be used as the good...
0 Reactions
1 Replies
902 Views
Nimeona katika jamii yetu watu wengi wanatapeliwa kwa kutokujua nani anafanya ni nini,ningeomba kila mtu aelezee japo kwa ufupi proffesion yake,for example im a teacher my work is teaching primary...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waungwana napenda kuileta mada hii ili 2weze kuijadili kwa uwazi na zaidi; Mikopo ya vyuo vya elimu ya juu nchini kuwa inatolewa na vyuo usika, je ? itakuwa suluhisho katika uta2zi wa migogoro...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Mimi niliwahi kusikia juu ya hii miradi miwili Singida 1.Kuanzishwa kwa UNIVERSITY OF SINGIDA 2.Kujengwa kwa HOSPITALI YA RUFAA YA SINGIDA. Kwa kuwa naamini hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SERIKALI imetangaza kwamba wanafunzi wa sayansi za tiba waliopata udahili kwa ufaulu wa daraja la kwanza na la pili watasomeshwa bure.Mbali ya wanafunzi wa madaraja hayo, hata wale wa wenye ufaulu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tunapiga kelele siku zote kuwa Taifa l Tanzania lina uhaba wa watu wa mahesabu na sayansi kwa ujumla. Kuna mtu yuko vijijini kanitumia sms nimwangalizie mwanae kachaguliwa kuendelea na masomo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…