Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman kama kuna mtu anapewa mkoo na hawa jamaa anyoshe kidole na anhakkshie au ka kuna mtu analjua fresh bac naomba anpe detail zake mana cjawaelewa hata kama ntawaelewa bac cjawaamini.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
hii ni kwa wale wote waliochaguliwa chuo chochote hapa moshi wanaweza wakanitafuta itakua poa sana
0 Reactions
14 Replies
2K Views
zilizothibitika
1 Reactions
64 Replies
8K Views
jamani wana jamvi naomba kujuzwa maisha yapi na ghali kati ya kuishi gheto na kuishi hostel. Tangu nimeanza kusoma sijawahi soma shule za binafsi i usualy study government schools so utanielewa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
HABARI ZENU WANAJAMII WENZANGU…. Naombeni nafasi nami niwasilishe hoja hii ndani ya jukwaa hili la elimu lenye heshima kubwa….. Leo nilikuwa maeneo ya ofisi za TCU hapa jijini Dar es...
3 Reactions
23 Replies
9K Views
abarizenyu bana kipande hichi bwana ni cha salamu kwa wana jf salamu zenu kwa wote
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida,karatasi za majibu za wanafunzi wa mwaka wa tatu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria wa UDSM zimeibwa zikiwa kwa Mhadhiri wa somo. Karatasi hizo za somo la Legal...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
jamani kwa mwenye kuifahamu saut songea
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"HESLB WAMEGOMA KUTOA FEDHA ZA TP KWA WANA-MUM.TUKUTANE MTAMBANI KESHO IJUMAA [7/9] SAA 2:00 ASBH TWENDE BODI.WAARIFU WALIO DSM,MORO n.k. BY MUMSO-..."NI 'SMS' KWA WANA-MUM WA 'EDUCATION' (BAED&...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nimepata meseji hii “ Dear customer, your estatement password for the month of September for the account ending with 83400 is 323240” na nikicheki ni kweli account number yangu inaishia na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Jamani mwenye joining za IFM na Medical atusaidie wengine tunatokea vijijini town mara moja moja sana. So ambaye ameshazichukua plizi tu uplodie ili kupunguza usumbufu maana kwenye website...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
First selection nilikosa nikajaribu secound round nikawa admitted,nimeangalia kwenye website ya chuo nilichoomba nimekuta tayari majina ya secound round selection yapo,nikachukua jukumu la kupiga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Eti wakuu,inawezekana kweli mtu awe hajaomba mkopo wa helsb,afu majina ya waliopata yakitoka na lake linatoka kuwa amepata mkopo while hakuomba?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Poleni na kazi na mihangaiko wan JF. mimi niliomba chuo na kozi mwaka wa masomo 2012/2013, kutokana na masharti ya mkopo inaonekana kipaumbele kipo kwenye baadhi ya kozi.kwa wale wa Arts...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:wamenibadilishia chuo bila mimi kutaka hata furaha ya chuo sina tena:shetani::shetani::shetani::shetani::shetani:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habarini wadau,naona 1st year wengi mpo roho juu kusubiri matokeo ya HESLB,tuendelee kuomba mambo yawe mazuri.Jamni wadau naomba kupata details za hiyo course ya B.com in Finance itolewayo UDOM,je...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Inahitajika
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hapari zenu wana jf! Naombeni mnisaidi mimi jina langu halionekani web ya chuo na ni first round,jamani waliopewa feedback na tcu tujuzane zaidi,kwa wale wa mucobs nao wapo kwa yaliyonikuta?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msaada kwa anayefaham procedure za ku change course chuo especially kwa udsm inakuaje?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jina langu lilitoka kwenye second selection, na mm nikaomba tena fasta st joseph nikaambiwa nipo admitted.sasa leo mist wametoa majina na mm jina langu naliona huko, nikiwapigia tcu kwa msaada...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…