B.com in finance udom

BAOSITA

JF-Expert Member
Nov 2, 2011
368
188
Habarini wadau,naona 1st year wengi mpo roho juu kusubiri matokeo ya HESLB,tuendelee kuomba mambo yawe mazuri.Jamni wadau naomba kupata details za hiyo course ya B.com in Finance itolewayo UDOM,je ina walimu wazuri hapo na graduates wake inakuwaje kweny soko la ajira mtaani kwa ujumla?
Shukran
 
Nina washkaj zangu wamemalza tangu mwaka jana na hawajaitwa kwenye interview hata moja.
 
Nina washkaj zangu wamemalza tangu mwaka jana na hawajaitwa kwenye interview hata moja.

nina jirani yetu saii anafanya Equity bank(arusha),na mwingine yupo magic fm,xo kaz ni kustruggle,kusoma ni kustruggle,kupata boom nikustrugle,kila ktu tz ni ku-struggle
 
ckulaumu mdogo wangu kwa kuuliza maswali kama unaenda kujoin form five,kitu ccha msingi ni kuanza ku-strugle tangu day 1 coz overall performance yako iatakuwa ni average ya performance ya kila semester. kwenye soko la ajira kitu cha kwanza kumvutia mwajiri akuite kwenye interview ni performance yako,kinachofuata ni jinsi utakavyo defend performance yako kwenya interview. huyo jamaa anaedai jamaa zake hawajaitwa kwenye interview afuatilie performance. me jamaa yangu amesoma pale course iyoiyo na tangu alipomaliza 2010 amebadili kaz mara tatu( Access Bank, Deloitte then TRA asa ivi).
 
Back
Top Bottom