PART-TIME Lecturing

kumbe hadi wahitimu wa UDSM wanalalamika mishahara midogo.......... mm nilijua ukimaliza UDSM kilaki2 poa kuanzia mshahara, kazi,gari la usafiri, nyumba ya kuishi......
 
kumbe hadi wahitimu wa UDSM wanalalamika mishahara midogo.......... mm nilijua ukimaliza UDSM kilaki2 poa kuanzia mshahara, kazi,gari la usafiri, nyumba ya kuishi......

……maujiko mtaani,sifa,……

ila kumbe walewale tu.
 
Kwa wadau wenye Vyuo Vyao mitaani hapa Dar au wenye mawasiliano mema na wenye vyuo,nawasilisha kwenu ombi langu la kufundisha masomo ya Sheria ya ngazi ya Chuo.Ni part-time tu. Wakati wa jioni kuanzia saa kumi jioni. Ni katika harakati zangu za kuongeza kipato.

Kwasasa nafanya kazi Taasisi moja ya Serikali kama Afisa Sheria. GPA yangu ya Undergraduate ni 3.6.Ni ya Shahada ya Kwanza ya Sheria Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Nimeshamaliza Law School of Tanzania pia. Nisaidieni kwakuwa mshahara niupatao ni maumivu matupu.Nina uwezo wa kufundisha somo lolote la sheria. It is serious.

Humbly submitted.

Vuta-Nkuvute
zaomlimani@hotmail.com

usichoke kutafuta mungu atakusaidia
 
Back
Top Bottom