Fundisho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fundisho

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by The Son, Sep 6, 2012.

 1. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "HESLB WAMEGOMA KUTOA FEDHA ZA TP KWA WANA-MUM.TUKUTANE MTAMBANI KESHO IJUMAA [7/9] SAA 2:00 ASBH TWENDE BODI.WAARIFU WALIO DSM,MORO n.k. BY MUMSO-..."NI 'SMS' KWA WANA-MUM WA 'EDUCATION'
  (BAED& BSCED) AMBAO WAKO LIKIZO RASMI TANGU 22/7/2012.'TP' WANATARAJIA KUANZA 10/9/2012-JUMA3 IJAYO LAKINI NDIO KAMA HIVYO HAKUNA FEDHA NA SABABU HAZITOLEWI (ZIKITOLEWA HAZI'SOUND') NA KUNA MTU ANATEGEMEA KUFANYA 'TP' KAGERA LAKINI KWA SASA YUPO DAR. UNAONA KAZI HIYO?



  FUNDISHO-TUCHAGUE KUFANYA FPT MAENEO YA KARIBU NA HOME.


  TP=TEACHING PRACTICE

  FPT=FIELD PRACTICAL TRAINING
   
 2. The Son

  The Son JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 463
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mum=muslim university of morogoro (chuo kikuu cha waislamu cha morogoro)
   
Loading...