Kwa yeyote aliechaguliwa chuo chochote moshi tutafutane

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
hii ni kwa wale wote waliochaguliwa chuo chochote hapa moshi wanaweza wakanitafuta itakua poa sana
 
Nipo Bachelor of science in prosthetics and orthotics at kcmc lakini sijui nianzie wapi make hakuna mtu wa kuniderect wala ktk website yao hakuna joining wala names of selected student asante kaka/dada kwa kuweka hii thread hebu tusaidiane. Mbarikiwe.
 
Mimi nimechaguliwa ba in procurement and supply management,mpaka sasa sijapata fomuyakujiunga ! Hivi hicho chuo kinafumguliwa lini?
 
Mimi nimechaguliwa ba in procurement and supply management,mpaka sasa sijapata fomuyakujiunga ! Hivi hicho chuo kinafumguliwa lini?

kama ni muccobs tarehe ya kufungua ni 15 october na joining instruction zitatumwa kesho adresses zetu,so fanya kusubir joining instrucns,issue ya hostel wavulana almost wote wanatoka off campus na hostel zote zinatafutwa na chuo ww ni kulipa 2,so ushaur fanya faster hili upate hostel karibu na chuo coz nyngne ziko distance kidogo,
 
Orientation ni tarehe 24-28 ukiingia kwenye web yao sehemu ya calenda utapata hicho kitu ila kuhusu joining na maelezo mengne sijui.
 
kama ni muccobs tarehe ya kufungua ni 15 october na joining instruction zitatumwa kesho adresses zetu,so fanya kusubir joining instrucns,issue ya hostel wavulana almost wote wanatoka off campus na hostel zote zinatafutwa na chuo ww ni kulipa 2,so ushaur fanya faster hili upate hostel karibu na chuo coz nyngne ziko distance kidogo,

da na mimi nipo mucob BAF,kivip unapata hostel tujuzane jamani na ni hiyo 15 unatafuta hostel au?
 
da na mimi nipo mucob BAF,kivip unapata hostel tujuzane jamani na ni hiyo 15 unatafuta hostel au?

nimepata joining leo ya muccobs hostel ni shida lakn wameandika zitatafutwa nje na chuo then wanafunz tutalipia,wameweka sh 200,000 hostel,medical capitation 100,000,stdnt orgnzation 10,000 trh 15 wote 1st year 2we chuo na vyeti vye2 vyote kwa ajili ya registration na orientation course,poa kaka BAF 2takutana kilanga watu 62 mzuka mbaya.
 
dah mwana unanipa stim xna wakati mpaka now clioni jina langu kwenye web yao,nilitokea hapo chuoni jana wakaniambia nikawatel tcu,hilo tatizo halipo upande wao!
 
Joining za muccobs zinatumwa posta kwani leo nimeipata ya ndugu yangu nimeitoa posta mwenyewe.
 
asante mkuu,je kuhusu riporting,registration ni lini..?

tarehe za kuripoti na registration nadhani ni mulemule kwenye oriendtation date of course mwenyewe nina mpango wa kwenda mapema kwani nasikia ukifika kuanzia th. 26 ujue hupati hostel ila tujuzane.
 
Yani wakuu mnanipa wenge xna coz jina langu halionekani web ya chuo na wamentel niwaende tcu,da wanangu kwangu ni mawazo kila kukicha.
 
Back
Top Bottom