maisha ya gheto na hostel.....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

maisha ya gheto na hostel.....!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by stevoh, Sep 5, 2012.

 1. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  jamani wana jamvi naomba kujuzwa maisha yapi na ghali kati ya kuishi gheto na kuishi hostel. Tangu nimeanza kusoma sijawahi soma shule za binafsi i usualy study government schools so utanielewa naishi maisha gani!! Naombeni ufafanuzi hasa kwa chuo cha IFM
   
 2. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna hostel kaa hostel maisha ya dar bei ya chumba unaijua bado uchangie umeme,maji. Labda utafute wenzio km 2 hv then mpange.we unadhan ud wanavyobebana huwa wanapenda?mtaan km huna pesa sio kuzur mwana.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,319
  Likes Received: 2,605
  Trophy Points: 280
  kaa hostel...ukijiloga ukapanga chumba tu utajikuta vishawishi kibao, utataka kumiliki demu na anasa nyingine
   
 4. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  KWA niliposoma mpaka mwaka wa tatu huu geto iko poa sana kuliko hostel coz unajifunza maisha na kujitegemea
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Ungekua mkoan ningekushauri ukae gheto,bt kwa dar ckushauri.
   
 6. f

  fahad1208 Member

  #6
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dah! Hata mm nna tatzo hlo.Nmepangiwa st.john ya dom na gharam zao za hostel zpo juu knouma!
   
 7. A

  Awadh Mabaraza Member

  #7
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Gheto kwa IFM halikwepeki ila nakushauri kama unagepu la hosteli anzia kwa 1st yr then soma ramani..
   
 8. M

  MICHO THOMAS BK Member

  #8
  Sep 5, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama kuna mtu anafahamu kuhusu chuo cha Institute of Tax Administratio Dar (ITA ) anisaidie bse cjui kama kuna hostel au vp.na cjui kipo sehemu gan ya Dar.
   
 9. f

  fahad1208 Member

  #9
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kpo mikocheni
   
 10. I

  Ibrashinto Senior Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimechaguliwa saut-bukoba branch sijajua kama kipo mjini au mbali na mjini naomba kufaham kwa anaejua alafu naomba na ushauri nikae hostel au geto?
   
 11. kejof2

  kejof2 JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 1,711
  Likes Received: 349
  Trophy Points: 180
  Kwa dom geto linafaa rum cheap nyng isue ni ukarb na chuo tu
   
 12. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  geto nzuri kama una mipango na mikakati ya kudefend your self against life in dar bt if not rather hostel
   
 13. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Naufanyia kaz ushaur wako mkubwa.
   
 14. stevoh

  stevoh JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 2,922
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nimekupata mkubwaa
   
Loading...