Naombeni msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naombeni msaada wenu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Hope1, Sep 5, 2012.

 1. H

  Hope1 Senior Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Poleni na kazi na mihangaiko wan JF. mimi niliomba chuo na kozi mwaka wa masomo 2012/2013, kutokana na masharti ya mkopo inaonekana kipaumbele kipo kwenye baadhi ya kozi.kwa wale wa Arts kipaumbele kipo kwenye kozi ya Education tena maximum ni 50%.kwa vile sina jinsi ikabidi niombe hivyo hivyo hata hiyo 50%.nilichagua kozi saba zote za education na zote nilikuwa eligible.
  1.Bacherol of education in ICT-UDOM Tuition fee 700,000/-
  2.Bacherol of education in adult education and commonity education-UDSM Tuition fee 1,000,000/-
  3.Bacherol of education in Policy, planning and management -UDOM Tuition fee 700,000/-
  4.Bacherol of education in management and administration-UDOM Tuition fee 700,000/-
  5.Bacherol of Arts with education-UDSM Tuition fee 1,000,000/-
  6.Bacherol of Arts with education-DUCE Tuition fee 1,000,000/-
  7.Bacherol of Arts with education-SAUT Tuition fee 950,000/-

  kwenye machaguo yote nimepat SAUT ada yao si laki tisa na nusu ni miolioni moja laki mbili na zaidi.kilichonipa shida mpaka nikaomba ushauri kumbe hiki chuo hakina hosteli yaani mpaka upange mtaani.Mpaka sasa nimechanganyikiwa.Nilikuwa nimejifariji kuwa kama nitalipiwa 450,000/- na bodi basi mimi nitajibana nilipie 450,000/- kutoka kwenye meals and accomodation.
  Naomba mnisaidie Je, kuna uwezekano nikapangwa UDOM kozi yoyote tu ya Education maana ada yao kidogo ina unafuu na nasikia kuna hosteli.
  Nimesoma Advanced secondary education nikiomba omba na wakati mwingine nafanya vibarua ili nipate ada na nilipomaliza wale waliokuwa wananisaidia waliniambia fika niombe kozi zenye mkopo. Nilipowaambia nimepata chuo na jinsi kilivyo wamenilaumu ni kwanini nimeomba chuo cha private.
  Jamani kuendelea na masomo napenda sana ila naona kizuizi mbele yangu.Nifanyeje?
  Pia naombeni contact za TCU e-mail address na namba ya simu.Hata wao niwalilie.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Sep 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Duh!cdhan kama kuhama chuo inawezekana mkuu!
   
 3. Vodka

  Vodka JF-Expert Member

  #3
  Sep 5, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 909
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Dah pole sana,jaribu kuwasiliana na wanaosoma SAUT mwaka wa pili na kuendelea maybe watakupa njia nyingine nzuri.Ni maoni yangu
   
 4. I

  Ibrashinto Senior Member

  #4
  Sep 5, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Alafu hata mimi sijaelewa apo kwenye ada kwa sababu ile tcu guide book imeonesha ada ni 9500000 nashangaa uku chuoni ni milion na laki mbili na arobaini hivi kwanini iko hivyo? Wakuu ata mimi apo naomba msaada wa mawazo!!! Alafu mtoa maada umepangiwa Saut branch au main campas?
   
 5. H

  Hope1 Senior Member

  #5
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 188
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  SAUT branch ndo wapi?, mimi nimepangwa Mwanza main campus.
   
 6. I

  Ibrashinto Senior Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sawa mkuu kuna branches za saut kama vle bukoba songe etc
   
 7. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  0712722684 hizo ndo namba zao....ila pole sana,jua yenye mwanzo yana mwisho...all the best!!!
   
 8. K

  Kiny JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 276
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kama wewe ni Mcha Mungu usirudi nyuma na Mungu ana mpango mkubwa juu yako inawezekana umepelekwa saut ili utimize sehemu fulani ya mpango wake jinsi alivyokuwezesha advance usiogope atakuwezesha mbeleni tuombeane wana Jf watakaopata loan kila mtu mwenye moyo hata akitoa 5,000 watu 100 zinaweza kusaidia great thinkers nawakaribisha mwendelee.
   
 9. I

  Ibrashinto Senior Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimeona ada zimetofautiana main campus na branches
   
 10. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe acha woga ndugu yangu then pole kwa matatizo lakini usiogope sana mungu yupo pamoja na wewe siku zote jaribu tafuta udom ikishindikana basi nenda saut kuna hostel za ndani ni 210000 per year ila inatakiwa uwahi coz ni chache na ukikosa ingia mtaani tafuta vyumba vya bei rahisi sio lazima ukae nyumba ya milion
   
 11. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  pole mkuu mi naona cha msingi ni kutengeneza plan zaid ya 1 kuliko kusubir siku ya kufungua chuo
   
 12. p

  pretty n JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ckia kakangu uwezekano wa kuhama chuo upo na inawezekana kabsa me mwnywe nlipangwa hko saut bt nikahangaika kutafta uhamisho nw npo st john campas ya dar cha kufanya we nenda tcu eleza shda yko thn utaambiwa uandke sababu za kuhama, bt huwa wana consider sana ugonjwa fanya hvyo thn uafanikiwa bt fanya hvyo b4 vyuo havijafunguliwa
   
Loading...