tcu wananinyonya nguvu

de gscom

Member
Aug 15, 2012
6
0
jina langu lilitoka kwenye second selection, na mm nikaomba tena fasta st joseph nikaambiwa nipo admitted.sasa leo mist wametoa majina na mm jina langu naliona huko, nikiwapigia tcu kwa msaada zaidi simu haipokelewi sasa sijui nifanyaje naomba msaada wenu.au kama kuna mtu mwenye namba ya tcu inayopokelewa anisaidie
 
Back
Top Bottom