Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kila kitu shida,maji,umeme,usafiri,hospital,elimu vyote taabu tu.Yaan mpaka TCU nao wanataka kubembelezwa wakat mtu ana vgezo vyote vya kujiunga na chuo.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
About Us The Higher Education Students' Loans Board was established by Act No. 9 of 2004, inaugurated by the Hon. Minister for Higher Education, Science and Technology on the 30th March 2005 and...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani haya mambo tunweza kushabikia kinafiki tuu lakini kiukweli sio haki na usawa wala utendaji kazi unatakiwa me sijaona sababu za msingi kwa hawa jamaa wa bodi ya mikopo kutokutoa majina ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
guys nimetafuta details za chuo hiki hakuna cha maana mbali na li website la kitoto kuna nyingine na kama ipo naomba mtu anisaidie maana nimechaguliwa hapo na mpka xaxa ccjui tunatakiwa ku report...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nahitaji kubadili chuo nipate DUCE/UDSM, mwenye uelewa wa wapi nianzi au niende ofisi gani ktk vyuo hivyo naomba aniambie. Asante
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro aliamua kukutana na walimu wa Sekondari manispaa ya Moshi katika ukumbi wa shule ya sekondari Majengo kwa ajili ya kusikiliza kero za walimu. Mkutano uliaanza kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tcu
Jamani huku ndio tcu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
haya jamani hizo hapo sheria na sera za bodi yetu pendwa ya mikopo tanzania take time to pass through japo kiduchu tuu
0 Reactions
0 Replies
992 Views
wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HEBU JARIBUNI KU CLICK HI LINK THEN MUONE WENYEWE LABDA INANIZENGUA MWENYEWE ! TCU Website
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari yenu naomba mwenye prospector mojawapo ya vyuo hiv aitupie hapa,nawasilissha
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada wenu jamani. Kuna dogo anasoma ualimu wa shule ya msingi na ameniuliza hili "Mtaala tunaona kuwa ni mpango ulioandaliwa kwa ajiri ya kufundishia na kujifunzia kwa lengo la kuwapatia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Niaje wadau? vp maresult ya dploma afya ymetoka yote?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
HEBU JARIBUNI KU CLICK HI LINK THEN MUONE WENYEWE LABDA INANIZENGUA MWENYEWE ! TCU Website AFTER CLICKING THEN ENDELEA UKIFUATA MAELEKEZO log in 4 uare profile then endelea .................:A S 465:
0 Reactions
7 Replies
2K Views
solve for x,, 2logx=x/25 njia muhimu wakubwa!
0 Reactions
26 Replies
4K Views
UNIVERSITY OF DODOMA DEPARTMENT OF STATISTICS SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS (To be conducted in Dar es Salaam) The Department of Statistics, School of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania, United Republic of ranking World Rank University Det. Ranking Presence* Ranking Impact* Ranking Openness* Ranking Excellence* ranking World Rank University Det. Ranking Presence*...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Kama Wanadodoso Wnzangu Wa Jf Nimedodosa Kuhusu Swala La Maandamano Na Migomo Udsm Na Wahtmu Fulani Wakaniambia "maandamano Na Migomo Udsm Imezmishwa Na Utawala Toka Miezi Ya Mwanzon mwa Mwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale ambao hawaoni majina yao,hawawezi kudownload form ya usajili,na majina hayo yatawekwa mtandaoni katikati ya wiki ijayo hvyo inabd muwe wavumilivu 2.ukitaka kuona tangazo nenda ALIS utakuta
0 Reactions
0 Replies
931 Views
  • Closed
Ndugu wadau, Ripoti ya tume iliyochunguza tuhuma dhidi ya upotoshaji wa matokeo ya mtihani wa somo la Islamic knowledge kidato cha sita mwaka 2012 inasikitisha. Tarrifa zilizotolewa na Naibu...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…