Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Naomba ushauri wa kozi ya kusoma

Joined
Aug 1, 2024
Posts
31
Reaction score
54
HUYU KIJANA NI CLINICAL OFFICER MUAJIRIWA, ALISOMA CBG AKAPATA DIV 2 YA 12 mwaka 2016
ANAOMBA USHAURI AKASOME KOZI IPI KATI YA HIZI
1;Bach of land management and valuation
2; bach of project planning and management
3; bach of health sysytems in monitoring and evaluation
4; Bsc in data science
Ushauri wako utazingatiwa ,asante🙏
 
Asome namba 4
hii itamwezesha kufanya kazi za namba 3
 
Akasome MD St Francis au UDOM badi kubadili fani ili iweje
 
BTECHREQYELLW.png
 
Nashauri aende health system ili aje kubadili kada kuwa Karibu wa Afya
 
Inategemeana ufaulu ya Diploma. Bila distinction hawezi kupata MD ndani ya Ardhi ya Tanzania
Vigezo vinasemaje kwani mkuu nayeye kakwambia hana GPA hiyo kwanza!?? Vyuo Vya Private hata akiwa na 3.6 anasoma vizuri tu ni ahakikishe tu Ada yao anayo ya kuwalipa basii
 
Vigezo vinasemaje kwani mkuu nayeye kakwambia hana GPA hiyo kwanza!?? Vyuo Vya Private hata akiwa na 3.6 anasoma vizuri tu ni ahakikishe tu Ada yao anayo ya kuwalipa basii
Anapataje hiyo nafasi wakati vijana wenye one ya 5 na 6 wanakosa nafasi. Au hufuatilii ufaulu wa vijana wa PCB form 6? Vijana wanapiga one za 3, 4,5 na 6 kama hawana akili nzuri. hata hivo vyuo vya Private vitanataka vijana fresh na akili kubwa. Huyo mimi ningempa ushauri wa pili kama hana uwezo wa kwenda nje anede zake akapige Advanced Diploma ya Medical, wanatoa pale Bombo Hospital, Tanga. Hizo MD kwa ndani ya nchi awaachie vijana wenye akili wa F.6
 
Back
Top Bottom