Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwanza nadhani kwa wote waliosoma st. Magret wanakumbuka jinsi tulivyolima mashamba na kung'oa visiki vya kahawa. Je, mnakumbuka tulivyokuwa tunacheza netball na Ashira Girls wanatufunga...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
ndugu watanzania nadhani hivi sasa watanzania tunatakiwa tuanalie na watu wa chini jamani...ufisadi umeanza kufika hadi vyuo vikuu vya dini...tuna mwezi sasa tunaona tangazo la chuo cha tumaini...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Hi JF Nina mdogo wangu anafanya aptitude test ya PWC pale mlimani this saturday, ameniomba niprint some tests from the internet nimpelekee. Nimehangaika siku nzima sijapata kitu, kila link...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari za muda huu wanajf , Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja...
2 Reactions
1 Replies
106 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma ( IDOM) kupitia Shule Kuu ya Sheria (SoL), leo Mei 22, 2026, kimeendesha semina maalum kwa wanafunzi wa sheria katika ukumbi wa CT1 uliopo Ndaki ya Biashara na Uchumi...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana (UDOM) na TISEZA pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF), leo tarehe 23/05/2026 katika Ukumbi wa Auditorium – CIVE...
0 Reactions
2 Replies
92 Views
Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu Huduma katika masuala ya ajira 1. Kujisajili ajiraportal 2. Kujisajili taesa 3. Kujisajili katika bank portals 4. Kuandaa application letter 5. Ku...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
22 Reactions
339 Replies
37K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mwanza, na napenda kuelezea changamoto kubwa tunayoipitia kila siku, hasa nyakati za asubuhi kwa wanafunzi wanaotegemea daladala kwenda shule. Kwa muda sasa, hali imekuwa ngumu...
3 Reactions
4 Replies
203 Views
Anonymous
Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali...
0 Reactions
3 Replies
226 Views
Kati ya course ya healthy information science na cybersecurity ipi ipo sokoni mtu asomee kwa ngaz ya degree?
0 Reactions
2 Replies
212 Views
Habari wakuu Unaweza kumshauri mtu achukue short course gani kati ya hizi ambaye kaishia kidato cha 4 na hakua na background nzuri kwenye mathematics japo ana kichwa chepesi upande wa computer...
3 Reactions
26 Replies
389 Views
Anonymous
1. Kuhamia watu wanadaiwa kati ya laki 5 hadi milioni unaambiwa mchango wa kitanda lakini kweli kitanda hakuna mtoto atalala chini au watalala wawili. 2. Watoto wanalala wawiwili (kinyume na...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu. Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule...
2 Reactions
12 Replies
183 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)...
1 Reactions
0 Replies
79 Views
Anonymous
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Bandari kilichopo Tandika Jijini Dar es Salaam, sisi tunaosoma kozi fupi ya Reach Stacker tunapokwenda kwenye mafunzo kwa vitendo pale NASACO Bandarini hukuta mashine...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Anonymous
Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu. Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 ...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Anonymous
Taa za barabarani karibu na Cafe ya College of Humanities katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) zimekuwa hazifanyi kazi kwa takriban miaka miwili sasa. Eneo hilo ni muhimu kwa Wanafunzi wanaokwenda...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Anonymous
Shule yetu ya Mkondogwa Primary School iliyopo Kata ya Chamazi Wilaya ya Temeke, Mkuu wa Shule anatutoza rushwa sana, tukihamishia watoto wetu pale anatutoza hadi shilingi laki moja kwa madai ni...
5 Reactions
9 Replies
190 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…