Msaada wa Aptitude test | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Aptitude test

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Sita Sita, Jun 3, 2009.

 1. Sita Sita

  Sita Sita JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2009
  Joined: Aug 25, 2008
  Messages: 1,196
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hi JF

  Nina mdogo wangu anafanya aptitude test ya PWC pale mlimani this saturday, ameniomba niprint some tests from the internet nimpelekee.

  Nimehangaika siku nzima sijapata kitu, kila link ina test za kufanya online.

  Please help if unajua jinsi ya kuzipata tests za word document au pdf format.
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!ha!ha!ha!ha!....Sita sita....!

  Aptitude test basically hutumika kutest someone's naturally intellectural capabilities....has kwenye very basic things!

  Vitu muhimu wanavyoangalia hapo huwa ni speed ya kufikiria & kuandika....! Kama anaenda kufanya test za PWC watamtest vitu vifuatavyo;

  1. English proficiency....hapa kutakuwa comprehension & questions, Grammar testing, Essay writing.

  2. Very basic mathematics.....hapa asijiandae eti na ma calculus, differential, intergration, complex...No....wanauliza vile viswali vya shule ya msingi up to form four...hasa hesabu za form two ambazo zinahitaji kufikiri zaidi kuliko kukumbuka na kukariri formulas

  3. Kucheza na Maumbo

  Hapa utapewa diagrams mbalimbali ambazo utaambiwa uzigeuze geuze kufuatana na mfano utakaotolewa....kwa mfano anaweza kukupa mfano wa triangle ikiwa imegeuzwa base juu....sasa akakutaka na wewe ugeuze hivyo diagrams nyingine nyingi tu!

  Mkubwa katika vingele vyote kinachopimwa ni IQ ya mtu inavyoweza kufikiria faster na kuact....so maswali yale nduguyangu hata hayahitaji mtu kukariri kabisa!

  Kitu cha muhimu kama swali hulijui achana nalo kimbia faster kule unako yajua....!

  Huwezi amini kuna watu nawajua walishanya hiyo test pale PWC wakiwa na first class but they failed this test.

  Need we say more!
   
Loading...