Kwanza nadhani kwa wote waliosoma st. Magret wanakumbuka jinsi tulivyolima mashamba na kung'oa visiki vya kahawa.
Je, mnakumbuka tulivyokuwa tunacheza netball na Ashira Girls wanatufunga tunawazomea tunawakimbiza na makelele?
Mnakumbuka mto Chapadindi siku ya shida ya Maji tunaenda kuoga wanafunzi wa Olaleni Sec wanatukimbiza?
Ha ha jirani zetu Marangu sec wasichana tulikuwa hatupatani eti wanasema tunawaibia wanaume wao.
Manamkumbuka Mwalimu mmoja hivi nimemsahau alikuwa akijua umejificha uvunguni anamwaga maji,
Mnakumbuka tunaiba mahindi tunayachoma kwenye jalala kwenye matakaataka (bila kutoa maganda lakini)?
Mnamkumbuka Headmaster Mwl. Barati akitoka kulewa hata saa 8 usiku anatuamsha anatuambia tulale salama anafungua barua zetu anazisoma ananza kutuponda?
Lakini na mnakumbuka Headmistress Mary alipofika tu akatunyoa nywele? Huyu mama alikuwa na roho mbaya sana, sijui sasa hivi yuko wapi?
Lakini ilikuwa raha sana tunakumbuka