Habari, Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana 2023 katika masomo ya biashara nilikuwa naomba ushauri Kati ya kwenda advance level education au chuo.
Nk. Ninamatamanio ya kusomea Uhasibu.
Asante.
"Watoto wetu huku Mbagala kwa Makusudi kabisa wakimuona Mtu tu mwenye Ugonjwa huu wa Macho wa Red Eyes wanaenda Kumshika na hata Kugusisha mikono yao na Macho ya hao Wagonjwa kisha kujigusa katika...
Ualimu ni kazi nzuri Sana. Inavutia Sana kuifanya kwa moyo. Nakumbuka nikiwa darasani nikiwalekeza watoto napata Raha sana mwanafunzi anapoelewa na kuelezea(demonstrate) like jambo.
Nilikuwa...
NB: Mada husika ipo kwenye paragraph ya pili.
Heshima kwa wanajukwaa wote, baada ya salamu naomba niende moja kwa moja kwenye jambo la msingi.
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka 2022 na...
Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri...
Wakuu tumsaidie huyu dogo mana nimekosa Cha kumshauri kwa Sasa, Matokeo ya Kidato cha Nne yametoka
Huyu binti kapata Division Four ya 30.
Civics D
Kiswahili D
History D
Geography D
Biology C...
Wizara ya Elimu imekamilisha mtaala Mpya wa Elimu ngazi ya msingi ambapo Watoto wataishia darasa la Sita huku idadi ya masomo ikiongezeka.
Pamoja na hayo Mtaala inaonesha masomo ya Lugha...
Wadau mliosoma uwalimu Haswa walimu wa lugha kwa level zote diploma na degree. Kuna yoyote anayekumbuka kujifunza juu ya sera ya lugha ya Tanzania.
Katika kozi ulizosoma chuo je kunakozi yoyote...
Hakika ningejua nisingepoteza muda wangu kwenda kusoma form five na form six. Advanced secondary education is completely a wastage of time and resources.
Mjomba wangu alinishauri nilipofika form...
Wakuu, nipeni uzoefu katika hilo tafadhali. Mimi na rafiki yangu tumepanga nyumba ndogo ambayo tunatumia kama madarasa pamoja na ofisi humo humo, sasa tupo katika mchakato wa kujipanua shule bado...
Ni mbaya sana. Yaani semester ya kwanza vyuoni inamalizika lakini watoto wengi wale waliopata mikopo batch ya mwisho hawajapata. Watoto hawa wamekuwa wakiingia na kutoka Ofisi za Maafisa Mikopo...
Nchi yetu imekuwa na nia njema sana ya kuendeleza Vijana katika fani mbalimbali hasa za ufundi na ujasiriamali.
Kimsingi vijana wenye uelewa wa somo la hesabu wanaweza kufanya vizuri sana katika...
Habari,
Natafuta shule au kituo cha bweni kinachotoa elimu/mafunzo saidizi kwa watoto wenye mahitaji maalumu (hasa utindio wa ubongo), kituo/shule hugo iwe kati ya mkoa Morogoro au Dodoma...
Naitwa Abdul-Aziz Ally Carter mwanafunzi wa mwaka wa 3 chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM), nasomea historia na sayansi ya siasa,
Namba yangu ya usajili 2021-04-01016.
UDSM tunafundishwa kwa namna...
Mtoto wa darasa/Class/Standard 3 anasoma mambo makubwa sana.
Kwenye Math... Anasoma namba mpaka 1 million?!!! Class 2 kasoma 100 to 999. Mtoto ambaye ku add namba 3 ni mtihani kwake!!
Kwenye...