tztz JF-Expert Member Jun 30, 2021 232 180 Jan 28, 2024 #1 Naomba msaada ya kuelekezwa vyuo vinavyotoa masters in IT or any computer science kwa evening class kwa Dar es salaam natanguliza shukrani
Naomba msaada ya kuelekezwa vyuo vinavyotoa masters in IT or any computer science kwa evening class kwa Dar es salaam natanguliza shukrani
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Oct 29, 2022 638 1,525 Jan 28, 2024 #2 Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo
Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Aug 8, 2015 21,257 34,205 Jan 28, 2024 #3 Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Aisee..!! Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Aisee..!! Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
tztz JF-Expert Member Jun 30, 2021 232 180 Jan 28, 2024 Thread starter #4 Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Asante sana mkuu ntafuatilia
Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Asante sana mkuu ntafuatilia
Detective J JF-Expert Member Oct 17, 2016 18,756 29,316 Jan 28, 2024 #5 Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Ubora ulikuwa back in the days, siku izi ni brand tu imebaki pale. Vyuo vingine vesha catch up na vinaenda beyond.
Mkereketwa wa NAZI said: Nenda udsm wanatoa pale tena ukimaliza udsm n sawa na umesoma chuo kama oxford au havard tu kwa ubora wa kile chuo Click to expand... Ubora ulikuwa back in the days, siku izi ni brand tu imebaki pale. Vyuo vingine vesha catch up na vinaenda beyond.