Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari wananzengo, Napenda kujuzwa juu ya majukumu ya Wizara ya Elimu kwenye elimu na Wizara TAMISEMI kwenye elimu. Na, Je hakuna uwezekani majukumu yao kuingiliana?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
0 Reactions
248 Replies
48K Views
Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer. Kwa maono yangu...
-1 Reactions
2 Replies
997 Views
kwa mfano Mimi niliomba mkopo mwaka jana nikakosa je ninapoomba tena mwaka huu nikaweka barua ya kustaafu ya mzazi ambaye amestaafu mwaka jana je ninaweza pata mkopo? ( Ngazi ya shahada )
1 Reactions
2 Replies
717 Views
Habari wa kuu , Nmeona combination mpya zimeongezwa ili kuwapa uwanja mpana wanafunzi wa advance lakini naona hazija ongeza kitu kwa wanafunzi wa sayansi zaidi ya computer.kwa maono yangu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu msada please kwa yeyote anaefahamu sehemu ambapo naweza pata field ya Mech engineering naomba anisaidie.Sehemu ambapo ningependa nifanyie field kama itapatikana ni dar. Asanteni.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nimewasikia watekelezaji wa mtaala (walimu) na wanafunzi kupitia wazazi wanasema mada zinazofundishwa darasa la tatu zinawadi umri mfano Kwenye somo la hisabati,jometri iliyokuwa inafundishwa...
1 Reactions
9 Replies
659 Views
Nawasalimu. Naomba kwa wazoefu wanifahamishe Bei ya kumfundisha mtoto tuition akifatwa nyumbani kwao.wa darasa la tano na darasa la kwanza. Msàada jamani.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimaswali gani nitaulizwa nitakapo enda kufanya interview katika moja ya hospital kubwa hapa Tanzania, Nafasi nilio omba ni Operational Major.
1 Reactions
1 Replies
335 Views
Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari, naomba mnisaidie njia Bora ya kupokea pesa online nakui-transfer katika mitandao ya simu kama tigo, mpesa au Airtel...z[emoji120]
0 Reactions
6 Replies
466 Views
Naomba wadau wa Jamiiforums waweze kufatilia uovu unaofanywa na mwalimu mmoja katika shule ya secondary Kanoge ambayo ipo wilaya ya Nsimbo mkoani Katavi kwani katika shule hiyo kuna mwalimu wa...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari! Ni muda sasa nimekuwa nikitafakari kwenda VETA kwaajili ya kusomea fani moja wapo miongoni mwa fani zifuatazo;- i)Umeme wa magari ii)Umeme wa majumbani iii)Udereva Nimekuja kwenu...
2 Reactions
12 Replies
861 Views
Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
3 Reactions
29 Replies
6K Views
Kuna kijana hapa alisoma BSc In mechanical Engineering, mwaka wa 3 semister ya 2 akaugua sana akashindwa kuendelea akaomba kuahirisha, mwaka uliofuata akaahirisha tena akae sawa kabisa. Alipotaka...
1 Reactions
10 Replies
870 Views
Ninafikiria mwanangu akimaliza darasa la saba nimsomeshe QT miaka 2 na form 4 mwaka mmoja kisha form 5&6 mwaka 1. Kikubwa ni kujitoa muhanga kumsimamia kwa ukaribu wa hali ya juu ili afanikiwe.
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Rejea kichwa habari hapo juu. Tukiwa tunasubiria Sekeseke la 'kupiga pepa' tufaulu ndio tuajiriwe hebu tupeane dondoo za hapa na pale. Pepa' itakuaje na labda itakuwa ni content based kwendana...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilipokuwa A-level, nilifanikiwa kusoma katika shule mbili tofauti za Bweni. Vifuatavyo ni visa navyokumbuka i) Kama mjuavyo, utumiaji wa simu katika shule za Bweni ni mshikemshike. Sasa mie...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama pekee kinacholazimisha wanachama na wao bila kupenda kukatwa michango yao ni cwt. Chama.cha walimu Tanzania. Unaweza ukakipa nafasi ya kidunia katika vyama ambavyo 95% wanachama leo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi kama mdau wa jamii forum nimeona hoja na kero nyingi zikipatiwa ufumbuzi mbali mbali hivyo naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi hapa! Ni kuhusu wizara ya elimu hapa nchini ninaomba...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…