Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kujua vyuo vinavyotoa kozi ya ualimu wa awali ngazi ya cheti na vigezo vyake vya kujiunha. Kwa mwaka huu 2026
0 Reactions
2 Replies
115 Views
Anonymous
Habari, najua hii ni personal lakini nimemaliza chuo cha CBE Dar es salaam tangu mwaka 2021, nimekuwa nafuatilia matokeo yangu mpaka leo sijapata. Nashindwa ku apply masters na ni vigumu kupanda...
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Takriban mwezi mmoja uliopita, katika jukwaa hili kuliripotiwa malalamiko ya wadau wa elimu wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es Salaam, wakiwalalamikia wamiliki wa shule ya sekondari ya...
2 Reactions
9 Replies
254 Views
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh Mods mada hii ni ya kutoa Elimu kwaio msiiunganishe na Ramadhan thread Kwa nia njema Waislamu wenzangu tutakua tunakumbushana kuhusu funga hasa funga...
6 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakubwa shikamoni aisee ndo kwanza naanza ila madude ni magumu hayagusiki 1.General Chemistry 2.Physical Chemistry 3.Organic Chemistry 4.Inorganic Chemistry 5.Acid,base and salt Nimejaribu...
16 Reactions
161 Replies
2K Views
Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila...
1 Reactions
8 Replies
239 Views
Anonymous (8e2c)
Clinical Nutritions and Dietetics (Utabibu lishe na Chakula) hii ni Faculty mpya iko pale UDOM. Miaka kadhaa sasa imekua na changamoto ya mtaala(Curriculum), hadi sasa tuliopo internship tunaona...
1 Reactions
4 Replies
247 Views
Katika karne ya 21, dunia imeingia katika enzi mpya ya kidijitali ambapo kila kitu kinategemea taarifa (data). Kila unapotumia simu yako, kufanya malipo ya kidijitali, kuvinjari mitandao ya...
3 Reactions
19 Replies
332 Views
Habarini familia. Kwa wale wanaosoma masomo ya Social Work,Community Development na Sociology. Ngazi ya NTA LEVEL 4,5,6,degree na post graduate diploma, na masters. Na una uwitaji wa mwalimu wa...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Habari za muda huu wakuu, bila kuwapotezea muda niende kwenye maada. Mimi ni nina elimu ngazi ya cheti ya utabibu technician certificate in clinical medicine(NTA L5) niliishia hii level kwa...
1 Reactions
5 Replies
331 Views
Msaada hii kozi siku izi wanaombaje maana haipo kjwenye mfumo wa maombi kupitia nactevet na hio ni kozi ambayo nahitakji sana kuisoma Cuhas tumeshindwana wamesema 535,000 ya nafasi 😂 tena...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Kwa ufupi wakuu nahitaji kujifunza Jinsi seli zinavyozaliwa, zinavyokuwa, zinavyowasiliana na jinsi zinavyokufa. Jinsi vinasaba DNA na RNA vinavyonakiliwa, jinsi vinavyotoa maelekezo ya...
1 Reactions
5 Replies
131 Views
Habari zenu wakuu? Kwa mnao somesha Makongo Secondary this time, je kimaadili inafaa kumpeleka Dogo secondary boarding? Dogo ni wa kiume a namaliza la saba mwaka huu. Concern yangu ni kuhusu suala...
4 Reactions
56 Replies
656 Views
Tunaomba msaada kwani kazi tunapata ila vyeti hatuna, tumefatilia chuo wanatuzungusha hata hawajali kabisa tunateseka sisi tunaomba mamlaka husika mtusaidie.
0 Reactions
0 Replies
45 Views
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa...
0 Reactions
0 Replies
80 Views
Habari wapendwa, naomba mwenye kukifahamu kwa undani chuo tajwa hapo juu naomba msaada wako. Na kama ulishawahi kusoma huko itapendeza sana. Shukrani
0 Reactions
4 Replies
151 Views
Ndio maana kila siku nasema ni uwendawazimu wa hali ya juu Sana kulipa hela kumsomesha mwanafunzi shule inayo fundisha kwa mtaala wa NECTA. Ni ubabaishaji wa hali ya juu Sana. How comes mtoto...
4 Reactions
35 Replies
1K Views
Ninaomba mamlaka husika zitafakari hali halisi ya elimu ya kidato cha tano na sita nchini. Serikali imekuwa ikisema elimu ni bure, lakini ukweli uliopo mashuleni ni tofauti kabisa hasa kwa watoto...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a, tarehe 16 Juni 2026...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…