Nafundisha masomo ya Social Work

Nafundisha masomo ya Social Work

Liana N

Member
Joined
Jul 27, 2024
Posts
25
Reaction score
89
Habarini familia.

Kwa wale wanaosoma masomo ya Social Work,Community Development na Sociology. Ngazi ya NTA LEVEL 4,5,6,degree na post graduate diploma, na masters.

Na una uwitaji wa mwalimu wa kukufundsha masomo ya ziada..
tafadhali wasiliana na mimi,Nina ujuzi wa miaka mi 3 ya ukufunzi
Na nafundisha kwa garama nafuu sana.

Masomo yetu tunafanya online au face to face kwa wale walio Dar es salaam.
 
Back
Top Bottom