Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro...
0 Reactions
2 Replies
687 Views
Habary wakuu Miaka ya nyuma kidogo nilikuta andiko la remitano network mining program ambayo ilikuwa inatoa renec coin nilishiriki hiyo japo sikuwa serious nilipata faida kidogo kuhusu hiyo...
3 Reactions
6 Replies
751 Views
Ñimeombewa na wazazi wangu nactvet vyuo vya afya na nlikua sitaki Sasa wakinichagua ndo nakua nmehamishwa au inakuaje wakuu nisaidieni sitaki kubadilisha nataka nisomee ufundi nilipochaguliwa
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024. Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele 👇👇 maana nimesoma sielewi...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Ety ndugu zangu naombeni mnisaidie, matokeo ya kidato cha Sita 2024 yanatoka LINI?
3 Reactions
3 Replies
435 Views
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD)...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Umeme wa magari ukiacha chuo cha NIT, DIT na VETA chuo gani apa Dar kinatoa kozi Io naombe mnisaidie wakuu
0 Reactions
0 Replies
667 Views
Habari wakuu... Kuna utafauti gani kati ya category A - C vocational training center and category D Vocational education and training center, based registration
2 Reactions
5 Replies
714 Views
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60...
12 Reactions
75 Replies
4K Views
Naomba mwenye mwongozo wa sera mpya ya elimu (pdf) atume ili wadau tujue kwa undani yaliyomo!
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana JF naomba kuuliza kuhusu state of university of Zanzibar sana sana kwenye course kama doctor of medicine na a dental surgery.
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi. Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande...
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Naomba kusaidiwa shule za bweni wavulana o level zenye ada nafuu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani naomba ushauri kati ya hivyoi vyuo kipi ni Bora na pia Nina mpango wa kwenda degree na nilisikia kuwa kama unataka kuendelea na degree ni Bora uende chuo Cha private je ni kweli?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
'Sio siri tena' hatusemi "Is no secret again". Ndugu zangu, katika post hii niwakumbushe jinsi ya kusema "Sio siri tena" Nimeamua niwakumbushe baada ya kumsikia mtu fulani akisema, "Is no secret...
3 Reactions
1 Replies
694 Views
Naomba kujua nitatambuaje dira za dunia ie nikisimama mahali popote nitajuaje kuwa West ni huku, East North and South.
2 Reactions
28 Replies
11K Views
Habari wakuu, Poleni kwa majukumu. Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB. Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni ushauri, Ufaulu wangu wa form IV ni Dvs IV_27 B/math-F Eng-C Kisw-C Hist-D Geo-D Civ-D Bio-D Je, ni kozi gani naweza somea ngazi ya cheti na yenye manufaa mbeleni.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
"NISHAURI" TUNASEMAJE KWA KIINGEREZA? Katika post hii naomba niwakumbushe msamiati sahihi wa "nishauri", yaani mtu akupe ushauri. Kusema "nishauri" huwa tunasema "Advise me". Narudia, "Advise...
5 Reactions
9 Replies
848 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…