Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Matokeo ya kidato cha sita yameanza kutolewa, na hawa vijana hawana mchezo—wanapata division 1 kwa wingi! Takriban 90% ya watoto hawa wamezaliwa mwaka 2005, na sasa wanakabiliwa na changamoto...
2 Reactions
5 Replies
445 Views
Baada ya matokeo kutoka maswali yamekuwa mengi kulingana na kombi ambazo vijana wamepangwa. Mfano CBG ni moja ya kombi inayoonekana kuwashtua wengi kutokana na somo moja la Geography, kwamba...
0 Reactions
0 Replies
488 Views
Je Ni kweli kuwa matokeo ya form six 2024 yanatoka 12 July kulingana na picha hiyo hapo chini
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Kozi Nzuri za Kusoma Chuo Makala hii inasaidia kuelewa ni kozi zipi rsity.
2 Reactions
2 Replies
917 Views
Rasmi TCU (Tume inayosimamia Vyuo Vikuu Tanzania) imerelease GUIDEBOOK ya Mwaka Huu 2024/2025 itakayowasaidia Wanafunzi Kuchagua Kozi kulingana na Ufaulu wao na kuzingatia Cutting points...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Mbezi ya Kimara nilihitimu Kidato cha Nne kwa kufanya mitihani ya PC (Private Candidate) Mwaka 2020, Kituo change cha Mitihani kilikuwa Shule ya Sekondari Vituka, ipo Wilaya ya...
1 Reactions
9 Replies
904 Views
Habari zenu waungwana. Mdogo wangu kachaguliwa CBG moja ya shule mkoa fulani. Nataka mimhamishie akasomee huko Mwanza. Ni shule gani ya Serikal yenye comb tanjwa hapo juu mkoa wa Mwanza kwa Mkoa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nisaidieni list ya vyuo vunavyotoa kozi ya mechanical engineering
2 Reactions
6 Replies
451 Views
Habari wanaJF Lengo na madhumuni ya uzi huu nikuwasaidia wale waliosoma fani ya umeme ambao wana pambana kupata ajira katika taasisi mbali mbali kutokana na kadayao kufaulu iterview. Hivyo kwa...
2 Reactions
6 Replies
702 Views
Kwa graduate wa Clinical Officer ambao wameshindwa kumaliza na GPA nzuri i. e zaidi ya 3 ili waweze kuendelea na masomo ya ngazi inayofuata, hivi inawezekana kusoma foundation kozi? Na vyuo gani...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Soko la ajira kada ya mifgo baada ya kumaliza shahada au stashahada ya animal health and production likoje..je kuna usumbufu wa kupata ajira? kama hujui pita hivi(kimya kimya)
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wakati mjadala wa mgawo wa umeme ukizidi kushika kasi, na jana kijana Zitto kuamua kuvunja ukimwa kwa kutoa mapendekezo ya aina mbili; kushinikiza IPTL iwashe mitambo wakati mazungumzo...
1 Reactions
92 Replies
14K Views
Wakuu habari ya majukumu! Naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Katika Bachelor's Degree Admission Almanac for 2024/25, TCU wametanabaisha kwamba ifikapo tarehe 30/06/2024 wataweka hadharani...
2 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari Wana JF ....nimefanya maombi ya chuo diploma serikalini ila sijapata hovyo naulizia chuo Cha private kizuri ambacho naweza pata mojawapo ya hzo course nikasome maana Nina mpango wa kwenda...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
The energetic used by the teacher to impart knowledge and skills to 21th century children is indirectly proportional to the content they pay back.....🤔🤔🤔mtu za physics tu ndio zicomment mtu za...
4 Reactions
5 Replies
389 Views
Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu.. Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao...
1 Reactions
2 Replies
374 Views
Nilisoma clinical medicine mwaka 2018/2019 nikaishia level 4 sababu ya changamoto za ada. Sasa nataka nirejee masomoni Ila nahitaji kusoma radiology . Swali? Je inaruhisiwa kwenda chuo kingine...
1 Reactions
2 Replies
781 Views
Habari wakuu. Nimesikia tetesi hii ni elimu muhimu sana kuifahamu. Je, nani anaifahamu atueleze kidogo
2 Reactions
4 Replies
915 Views
Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini? Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom