Habary wakuu
Miaka ya nyuma kidogo nilikuta andiko la remitano network mining program ambayo ilikuwa inatoa renec coin nilishiriki hiyo japo sikuwa serious nilipata faida kidogo kuhusu hiyo...
Habari wanaJF, mimi nimemaliza Form Six mwaka huu 2024.
Katika pita pita zangu nimekutana na TCU guide book mwaka Jana. Naomba UFAFANUZI kwenye hicho kipengele 👇👇 maana nimesoma sielewi...
Napenda kuuliza kwa madaktari na wataalam wazoefu Kati ya cuhas -Bugando ,st Francis ifakara na kcmc -kilimanjaro wapi Kuna shule ya kutosha tunapozungumzia swala la bsc in doctor of medicine (MD)...
Habari wakuu... Kuna utafauti gani kati ya category A - C vocational training center and category D Vocational education and training center, based registration
Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao?
Mnakwama wapi?
**Kipi ninajivunia miaka 60...
Hivi karibuni TAMISEMI wametoa chaguzi za kidato cha tano, na za Vyuo vya Elimu ya Ufundi.
Kwa upande wa kidato cha tano, tarehe wametoa mapema, sijajua upande wa joining instruction, ila upande...
Jamani naomba ushauri kati ya hivyoi vyuo kipi ni Bora na pia Nina mpango wa kwenda degree na nilisikia kuwa kama unataka kuendelea na degree ni Bora uende chuo Cha private je ni kweli?
'Sio siri tena' hatusemi "Is no secret again". Ndugu zangu, katika post hii niwakumbushe jinsi ya kusema "Sio siri tena"
Nimeamua niwakumbushe baada ya kumsikia mtu fulani akisema, "Is no secret...
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu.
Nilikuwa naomba msaada kuhusu kupata AVN kwa wale wa Diploma wanao apply mkopo HESLB.
Nimeshafanya usajili NACTE, ila kila nikijaribu kuendelea na hatua...
Naweza kubadilisha jaman form four nlipata iv geo c hist c bio c kisw c eng c civs D chem d phys D MATH F naomben kujuzwa. Naombe kujuzwa kuhusu kubadili kozi maana ngazi ya chet nmesoma human...
Naombeni ushauri,
Ufaulu wangu wa form IV ni Dvs IV_27
B/math-F
Eng-C
Kisw-C
Hist-D
Geo-D
Civ-D
Bio-D
Je, ni kozi gani naweza somea ngazi ya cheti na yenye manufaa mbeleni.
"NISHAURI" TUNASEMAJE KWA KIINGEREZA?
Katika post hii naomba niwakumbushe msamiati sahihi wa "nishauri", yaani mtu akupe ushauri.
Kusema "nishauri" huwa tunasema "Advise me".
Narudia, "Advise...
Wakuu naombeni mnijuze kozi gan ya afya ambayo nikisoma diploma sitosota mtaani ....maisha magumu mno. ..ambayo nitaajiriwa haraka
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.