Kozi ipi naweza soma na ina faida mbeleni kwa ngazi ya cheti?

Baraka Essau

Member
Jun 19, 2023
7
6
Naombeni ushauri,

Ufaulu wangu wa form IV ni Dvs IV_27
B/math-F
Eng-C
Kisw-C
Hist-D
Geo-D
Civ-D
Bio-D

Je, ni kozi gani naweza somea ngazi ya cheti na yenye manufaa mbeleni.
 
Telecomunication engeneering hii unaweza soma na itakutoa kimaisha coz mitandao ya simu na makampun mengi sn ukichek bandar ka ivo inauzwa na mama kasema itakuwa inatumia ma IT tu pale hata ukibeba kimzigo anakuona ikulu so somea iyo mda si mrefu utamiliki mjengo hapo hapo dar na gari mda si mrefu
 
Soma technical isue kama ufund bomba au umeme wa majumban/ viwandan au umeme wa magar heavy machanics itakutoa kwa haraka kulko corse zngne ztakuhtaj mpka ukafike degree na majukum hayakusubir tayar una bint wa watu ushampga na mimba
 
Telecomunication engeneering hii unaweza soma na itakutoa kimaisha coz mitandao ya simu na makampun mengi sn ukichek bandar ka ivo inauzwa na mama kasema itakuwa inatumia ma IT tu pale hata ukibeba kimzigo anakuona ikulu so somea iyo mda si mrefu utamiliki mjengo hapo hapo dar na gari mda si mrefu

Masomo ya sayansi kazingua,
 
Naombeni ushauri,

Ufaulu wangu wa form IV ni Dvs IV_27
B/math-F
Eng-C
Kisw-C
Hist-D
Geo-D
Civ-D
Bio-D

Je, ni kozi gani naweza somea ngazi ya cheti na yenye manufaa mbeleni.

ukiwa na F ya math coz za engineering ni ngum sana ww kupat hat kama ukipata basi jua huko mbelen ukimaliza diploma watakuambia ulikua huna vigezo vya kusom engineering
hapo cha kufany ni kusoma masom ya biashara t hakun kitu kingine

ukiend kinyume na hicho nachokisema itakuletea shida sana mbelen
 
Back
Top Bottom