Kuna wanafunzi ambao wanaapply vyuo kwa sasa kwa upande wa afya kwa kuweka machaguo yao, lakini wengine kutokana na kutaka kwenda vyuo vikubwa wanajaza tu bila kuangalia ufaulu wao.
Angalia mfano...
Jamani me ninauliza kama inawezekana mtu kusomea udaktari kwa kutumia cheti cha form four (yaan kuanzia diploma) na baadae kupata udaktari bila usumbufu.
Na kama inawazekana anatakiwa asomee...
Kuna wimbi la watu wengi wanaelezwa juu ya nafasi za ufadhili wa masomo ya juu kwa ngazi tofauti na mashirika mbali mbali.
Mara nyingi kwa kutumia lugha za biashara mfano
"Scholarship...
Wazungu wanapenda saana kusoma vitabu ndio maana wana akili sana.
Kuna siri kubwa katika kusoma.
Lakini mtu mweusi ukimpa kitabu alafu ukamwambia kitabu hiki kinaweza kufanya uwe tajiri mkubwa...
Hili ni swali kutoka kwa mmoja wa wafuatiliaji wa ukurasa wetu kutoka mkoani Mara.
Ukitaka kusema ni zamu yako, huwa tunasema “It’s your turn…”.
Kuna baadhi huwa wanasema “It’s your duty….”. Hii...
Wakuu habari za mchana, moja kwa moja kwenye maada. Ni kwa muda mrefu Sasa kumekuwepo na utaratibu wa kuziita shule za watanzania (wananchi) kuwa ni shule za serikali jambo ambalo naliona siyo...
Habari wana jf, nina mdogo wangu amemaliza kidato cha nne ,2023 na kupata div 1 ya 15. Kuhusu ufaulu masomo yote ya sayansi amepata B.
Aliomba chuo kupitia utaratibu wa shule ule wa kuchagua...
Habari WanaJf,
Nimekumbuka Wakati huo shuleni mwalimu anakuchapa viboko, we ukilia anakwambia aaah unanizomea sindio😂😂
Na wengine ukishika tu nafuta naanza mwazo, iyo sihesabu.. Daah maticha bhn...
Wana jamvi kwema,
Leo nimeona niwajulie hali hawa ndugu zetu wenye BSc na BA na degree nyinginezo, vipi maisha yanaendaje baada ya kuhudhurishwa na kutunukiwa Shahada yako.
Vipi mategemeo uliyo...
Naam nawasalimu wahenga wenzangu tuliomaliza elimu ya msingi mwaka 1987 Ilala Boma hapa DSM.
Karibuni tukumbushane enzi zile za mwalimu Mkuu Lutambi (Kamchape), mzee Mangosongo, mwalimu...
Wakuu habari na dogo langu hapa (mtoto wa mama mdogo), Matokeo yake ya kidato Cha nne hayajawa mazuri sana kwani kapata division four.
Hivyo mama mdogo kanitafuta nitoe ushauri juu ya fani ipi...
Habari naomba kufahamishwa juu ya course ya Laboratory assistant inayotolewa na vyuo vya ufundi (VETA) ni mahala gani watu wanaosoma hi kozi hii Wanahitajika.
Pia sifa za watu wanaosoma kozi hii.
Ninajiuliza na naomba kuelimishwa kwa kupewa faida na hasara. Kipi bora kwa mtoto aliyemaliza kidato cha nne. Kumpeleka kidato cha tano au kumpeleka Chuo kwa elimu ya juu.
Nawakilisha.
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
Habari zenu waungwana, binafsi leo nimeumia sana baada ya kugundua licha ya kuspend miaka mingi kuitafuta elimu kwenye hizi shule zetu za serikali, leo ndio nimegundua kumbe Mimi sikwenda shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.