State University of Zanzibar (suza)

hatedthemost

JF-Expert Member
Oct 20, 2021
424
271
Habari wana JF naomba kuuliza kuhusu state of university of Zanzibar sana sana kwenye course kama doctor of medicine na a dental surgery.
 
interest imekuja sasa hivi baada ya kuona bandicoot lako, naona kwanini mwanangu angaike na muhimbili kwenye high competition na siasa nyingi wakati kuna vyuo vingine vinao toa hiyo kozi,
Sasa if you're interested why not dig in info?
 
MD kachague Muhas, kcmc,bugando, UDOM or udsm.
Dental nenda muhimbili au udsm.

NB:Kama hakuna ulazima wa kwenda Zanzibar 📌
 
Habari wana JF naomba kuuliza kuhusu state of university of Zanzibar sana sana kwenye course kama doctor of medicine na a dental surgery.
Campus ya mbweni ya Suza ndo ipo ya health pekee na hizo kozi ulosema zote zipo unazozitaka na wabongo wapo wanosomea huku na mpka kupata ajira kwaio kma umeamua kuja kusoma Zenji karibu sanaa
 
MD kachague Muhas, kcmc,bugando, UDOM or udsm.
Dental nenda muhimbili au udsm.

NB:Kama hakuna ulazima wa kwenda Zanzibar
Shida ni mtu ametoka clinical medicine suza tu ndio wanapokea dental surgery.
GPA 3.6 yake ni kwahyo hali ni kama hiyo
 
Campus ya mbweni ya Suza ndo ipo ya health pekee na hizo kozi ulosema zote zipo unazozitaka na wabongo wapo wanosomea huku na mpka kupata ajira kwaio kma umeamua kuja kusoma Zenji karibu sanaa
And kwanini kama hamna ulazima aache
 
Campus ya mbweni ya Suza ndo ipo ya health pekee na hizo kozi ulosema zote zipo unazozitaka na wabongo wapo wanosomea huku na mpka kupata ajira kwaio kma umeamua kuja kusoma Zenji karibu sanaa
Kumbe campus iko mbweni
Sikujua kma kuna campus huko jmn.
Naomba kueleweshwa hpa
 
Back
Top Bottom