Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu, Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM. Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF. Leo tupate kufahamishana kwa wale wasiojua na kukumbushana kwa wale wenye kujua haya yafuatayo kuhusu mto Amazon,ambao unapatikana Amerika ya kusini: Mto Amazon inasemekana ndio...
4 Reactions
20 Replies
5K Views
Mimi ni muhitimu wa kidato Cha sita mchepuo HGK. Nahitaji kujua ni course ipi nzuri na yenye fursa ya ajira naweza kwenda kusomea chuo kikuu?
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo. Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri? Matokeo yake yako hivi: Math: F History: D Civics: D Kiswahili: C...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hizi shahada mbili tofauti, sema kwa kuzingalia utasema ni sawa
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Ukienda kusoma hapo, ujipange. Hata rushwa kama zipo hapo ni kwa shida sanaaa.
2 Reactions
6 Replies
486 Views
Anonymous
Waalimu UDOM wanalazimisha wanafunzi kutoa hela ya mahafali. Mahafali yenyewe siyo ya lazima tunajua mahafali ya chuo ndo ipo November na siyo lazima nifanye. Lakini baadhi ya walimu Wana taka...
1 Reactions
10 Replies
706 Views
Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo...
7 Reactions
9 Replies
861 Views
Wadau wa Jukwaa hili la Elimu. Naomba anayejua wapi naweza kupata Vitabu tajwa hapo juu anisaidie. Natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Hello ladies and gentlemen, Please naomba kuuliza mtu akisoma kozi hiyo tajwa hapo juu atafanya kazi wapi na atatambulika kama nani?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele CCM DAIMA MAFISADI...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Je, unamfahamu mdaiwa wa HESLB mwenye kipato lakini ANAPIGA KIMYA? ... kutoka Insta na X ya HESLB Tanzania
0 Reactions
11 Replies
797 Views
Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu. Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Nauliza kama kuna nafasi ya pili ya kuomba vyuo vya diploma mwaka huu??
2 Reactions
3 Replies
967 Views
Habari wanajamvi, Mimi ni mmojawapo wa wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na chuo cha CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MUSOMA, kozi Diploma in clinical medicine, kwa yeyote anayekifahamu...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
Nimepata wakati mgumu wakati najaribu kuapply chuo bora chenye kumjenga mwanafunzi awe competent kwenye computer science field naombeni ushauri ni vyuo gani bora vya diploma
0 Reactions
32 Replies
4K Views
ETARO SEKONDARI YADHAMIRIA KUWA NA "HIGH SCHOOL" YA SOMO LA KOMPYUTA - HARAMBEE JUMAMOSI, 23.12.2023 Tarehe ya Harambee: Jumamosi, 23.12.2023 Saa 3 asubuhi Mahali: Etaro Sekondari Kijijini Etaro...
0 Reactions
2 Replies
686 Views
Back
Top Bottom