Wakuu good day, nauliza wapi hapa jijini Dar mtu unaweza kupata course ya English intermediate and advance hususani kwa mtu aliyeopo kazini?
Nilikuwa najua British Council pale Posta lakini...
Habari zenu wakuu
Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering
Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba...
Wakuu,
Najua kuna watu wamewahi kusoma Bachelor of Commerce in Human Resource Management UDSM.
Hivi mtu aliyesoma mchepuo wa HGL anaweza kusoma hiyo kozi UDSM.
Habari wana JF.
Leo tupate kufahamishana kwa wale wasiojua na kukumbushana kwa wale wenye kujua haya yafuatayo kuhusu mto Amazon,ambao unapatikana Amerika ya kusini:
Mto Amazon inasemekana ndio...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo...
Jamani Kuna mwanangu ana 4 ya 27, akasome kozi gani ambayo mbele zipo Ajira na kitu ambacho kazi rahisi kupata ata kujiajiri?
Matokeo yake yako hivi:
Math: F
History: D
Civics: D
Kiswahili: C...
Waalimu UDOM wanalazimisha wanafunzi kutoa hela ya mahafali. Mahafali yenyewe siyo ya lazima tunajua mahafali ya chuo ndo ipo November na siyo lazima nifanye.
Lakini baadhi ya walimu Wana taka...
Kwa kuthibitisha kuwa elimu ya kidato cha sita bado inapewa kipaumbele Serikali imetoa tangazo la ajira za mawakili na makatibu wa sheria ila kwa wale walio na vyeti vya form six. Soma tangazo...
Ndugu zangu habari za leo, naomba ushauri wenu Mwalimu shule msingi ngazi ya cheti. Anataka abadili muundo ajiendeleze kwa kusoma VETA diploma ya food production (upishi) aachane na kusomea...
Hili wazo nilikuwa nalo kitambo tu ila nimepitapita humu nimekutana na rasimu kiukweli sijaisoma ila kama hili wazo ambalo nataka kulitoa hapa lipo basi wamecheza kama pele
CCM DAIMA MAFISADI...
Habari, wana JF ninaomba kupata ufahamu wa kuhusu elimu ya vyuo tanzania kuanzia vyuo vya kati na vyuo vikuu.
Je, inawezekana mtu akasoma degree au diploma mbili tofauti (course) kwa wakati...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mmojawapo wa wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na chuo cha CLINICAL OFFICERS TRAINING CENTRE MUSOMA, kozi Diploma in clinical medicine, kwa yeyote anayekifahamu...