The MaskmaN
JF-Expert Member
- Sep 28, 2017
- 350
- 753
Habari wana JF.
Leo tupate kufahamishana kwa wale wasiojua na kukumbushana kwa wale wenye kujua haya yafuatayo kuhusu mto Amazon,ambao unapatikana Amerika ya kusini:
Leo tupate kufahamishana kwa wale wasiojua na kukumbushana kwa wale wenye kujua haya yafuatayo kuhusu mto Amazon,ambao unapatikana Amerika ya kusini:
- Mto Amazon inasemekana ndio mto mrefu kupita yote duniani,wenye urefu wa kilomita 6,992..hubeba maji mengi zaidi ya mto mississippi,Nile na Yangtze ukiichanganya kwa pamoja.
- Zaidi ya 20% ya oxygen inayopatikana duniani,inazalishwa na misitu inayopatikana kwenye mto Amazon.
- Kama mto Amazon ungekuwa ni nchi basi ingekuwa nchi ya 9 kwa ukubwa ulimwenguni.
- Zaidi ya 80% ya vyakula vinavyopatikana ulimwenguni vimetokana na mto Amazon.
- Mto Amazon humwaga zaidi ya vigaloni/vidumu milioni 55 kwa sekunde ndani ya bahari ya Atlantiki.
- Mto Amazon unapatikana zaidi ya nchi 9 zipatikanazo amerika ya kusini,ambazo ni Brazil,colombia,Peru,Ecuador,Venezuela,Bolivia,Guyana,Suriname na Giana.