Jinsi ya kupata kozi za UDEMY za programming bila kulipia

municaster

Member
Oct 17, 2022
6
1
Habari zenu wakuu

Mimi ni Mwanafunzi hapo chuo Chetu kisiopendwa na wengi ( udsm) napiga Computer Engineering

Ila nataka niji train much hapo kwenye masuala ya development nilikua naomba mnisaidie kupata link ya kusoma zile kozi za Udemy au any website ambayo naweza kupata full course ya kujifunza programming hasa kwa java (springboot) and course ya web development kwa ujumla

Kwa research yangu ndogo nimeona jamaa ndio wanatoa start up nzuri kwa beginners kuliko other websites

Naomba kuwasilisha
 
Ngoja waje
 
Cisco nadhani ni wazuri zaidi.Unachagua kipi u base nacho kama ni security, networking, Web design, programming.Mwisho wa course unafanya mitihani na ukifaulu unapewa na cheti.Wajaribu hao jamaa..
 
Free code camp nimefanya nao kazi ila naona Wana video ndefu kuna mtu nilimuona ana video za Udemy naona zipo fresh kwa beginners ila hata hivyo naendelea nao
Cbt nuggets pia wapo vzr,kuna jamaa mmoja anaitwa Jeremy sema sikuhizi sioni video zake he knows his stuff
 
Back
Top Bottom