Liz Danger
New Member
- Jul 24, 2024
- 4
- 11
Wakuu pole na majukumu.
Mimi nimehitimu kidato cha sita mwaka huu natarajia kujiunga na chuo mwezi wa kumi. Naomba natamani kujua kozi gani ni nzuri na yenye nafasi kubwa ya kujiajiri nikimaliza masomo yangu.
Kozi hizo ni kozi ya IT na kozi ya ICT
Naomba ushauri wenu wanaJF
ASANTE