TEMBO WANGU
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 930
- 1,300
Nimeomba maombi ya uwalimu ngazi ya diploma ya shule ya msingi, sasa, nimechagua vyuo vyote ni masomo ya sayansi, na kozi moja wapo ni kozi ya laboratory, je vip namimi naweza kupangiwa kituo cha kazi nikimaliza kazi yangu@? Maana ya kuuliza hivyo ni kwamba naona shule ya msingi hakuna maabara huko. Ufafanuzi ndugu zangu.