Natafuta shule ya kufundisha.

Natafuta shule ya kufundisha.

kanumbu

Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
48
Reaction score
8
Ndugu wanajamvi, kuna mdogo wangu anatafuta shule ya sekondari katika wilaya ya Nyamagana Jiji la Mwanza. Amehamishiwa hapo, hivyo hazijui shule za O'level za Nyamagana. Msaada please kwa yeyote anaezifahamu shule hizo.o
 
Back
Top Bottom