Uhamisho

Uhamisho

Joined
Jan 14, 2012
Posts
29
Reaction score
6
natafuta mwalimu aliyeko Morogoro tubadilishane mi nipo Mwanza- Kwimba (sekondari) 0653256041
 
natafuta mwalimu aliyeko Morogoro tubadilishane mi nipo Mwanza- Kwimba (sekondari) 0653256041

Utawakuta humu kweli? Wenzio wanachofanya wanabandika matangazo katika maeneo husika, Take trouble andika tangazo lako mtumie mtu ali-print then atoe copy hata mia moja akabandike katika shule za Secondary zilizopo Morogoro, mimi kuna binamu wangu alifanikisha kupitia njia hiyo fasta sana
 
Back
Top Bottom