Sekondari iliyotoa viongozi na watu mashuhuri wengi Tanzania

Mpigamsuli

JF-Expert Member
May 24, 2012
3,885
575
nipen jib la hilo swali hapo juu je ni sekondar gani tz ambay viongoz wengi na watu mashuhur wamesoma? ikibid hat oroza!
 
Taboraaaaa School kichwaaaa cha Tanzaniaaa x 2
Twaelimishwaaaa, Ili tujitegemeeee
Haaapa alisomeshwaaaa, nayeeeeee baba wa taifa

Baba wa taifa x2

Taboraaaaa School kichwaaaa cha Tanzaniaaa

Inaendelea, wadau mtanikumbusha!! I miss my old school!!

Inafaa kiwepo chuo kikuu cha Technolojia ya tiba, Uhandisi pamoja na Siasa kwa mchango wake mkubwa nchini. TABORA NATIONAL UNIVERSITY (Its my wish)
 
Inaonekana ni jinsi gani hiyo sekondari inatoa viongozi bomu kabisa. Ni nyerere tu enzi za mkoloni.
 
Dah!Akhsanteni wadau kwa kutambua japo hili jambo zuri linalopatikana nyumbani kwetu Tabora, maana mara zote thread zinazoongelea kwetu mboka manyema huwa zinaponda tu.Mara ma mwinyi,wacheza bao na wanywa gahwa. Wawezya sana!!
 
orodhesheni shule then mtu mashuhuri aliyesoma shule hiyo. Msiongee kiujumla jumla tu kama spika wetu

malangali secondary school-iringa
1. Mark mwandosya
2. Ibrahimu kaduma
3. Joseph mungai
4. Late daudi mwakawago
5. Late sapi mkwawa
6. Late adam sapi mkwawa
7. Philemon mgaya-was inspector general of police
8. Mathew laban luhanga
9. THOBIAS ANDENGENYE- WAS RPC ARUSHA SASA YUPO MAKAO MAKUU
10 LINUS SINZUMWA-RPC SINGIDA
11. General mboma
 
Back
Top Bottom