Hii ni kwa walimu tu

Hii ni kwa walimu tu

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,689
Reaction score
641
Nina idea ya kufanya kazi na walimu watakaokuwa seriously comitted. Mimi peke yangu siwezi, so nahitaji walimu hasa wa sekondari..

Tutakaa, tutajadili na kwa pamoja tutaona namna nzuri ya kutekeleza wazo hili. Mimi binafsi sio mwalimu, ila ninaamini kuna vitu nitachangia.. Plan yangu ni kupata walimu comitted wasiozidi 10 wa masomo tofauti (O/A level)..

NB: Hii ni kazi inayohitaji Intellectual Investiment, huenda ikachukua muda kidogo kabla ya kuonesha matunda, so itahitaji uvumilivu wa hali ya juu.. Atakayekuwa tayari asitegemee kuona matunda kesho tu..

Kwa kuwa hii ni kwa walimu tu, kwa yeyote atakayekuwa na interest aniPM tuongee..
 
Toa wazo public watu wachangie wengine sio waalimu ila wanaweza kukuza wazo lako
 
mimi ni mwalimu why don't you expose your idea first then watu watafakari?
 
Ndio maana pale juu pameandikwa inawahusu walimu tu kama wewe sio mwalimu soma kama umevutiwa changia ila kama unataka kuponda potezea tafuta uzi wa wenzako wa watembea na bahasha za kaki
 
Back
Top Bottom