Natumaini wote humu ndani hamjambo napenda kuchukua nafasi hiii kuelimisha umma hasa kwa wale wanaopenda kuomba nafasi ya masomo katika chuo kikuu cha dodoma hasa katika college ya biashara na uchumi, pamoja na sanaa na lugha. kwanza kabla ya kuomba nafasi ya chuo ni lazima utambue kwamba katika chuo chochote kile ni lazima kuna cozi ambazo kwa upande mwingine wanaziita cozi rahisi japo urahisi wa cozi unategemeana na uwezo wako binafsi
katika kitivo cha biashara na uchumi, sayansi ya jamii na lugha zipo kozi ambazo ni laini sana na nyingine ambazo ni ngumu kutokana kuwepo kwa wakufunzi wababe wenye nia ya kuimarisha chuo kutokana na agizo la muheshimiwa Benjamin Mkapa mkuu wa chuo
kozi zinazoongoza kwa ugumu katika kitivo hiki,
1: BARCHELOR OF COMMERCE IN ACCOUNTING
Hapa supplimentary kwako zitakuwa kama wimbo wa taifa, kutokana na kuwepo kwa wakufunzi wababe wenye nia njema ya kuimarisha chuo, kama una mpango wa kufanya mshangazo kwa kupata gpa kali hapa kijasho kitakutoka haswaa ,hapa carry over zipo za kumwaga na gpa vimin za kutosha kabisa haya majina ya wakufunzi kwako yatakuw wimbo wa taifa Dr. KIRA, mbabe wa kukerisha kabla ya U.E, KITURURU JUSTICE, kozi work za 11,13,15.5 hapa hutashangaa kabisaa , msechu sufiani hapa lazima huelewe penda usipende mitihani yake n mwendo wa cpa papers, kama wewe unapenda kuwa nondo basi hii kozi inakuhusu sana ila utakuwa ukikesha kama popo kama wewe ni mvivu wa kutia msuli basi hapakufai kabisa hapa, mjini kwako ni library na madarasani hakuna bata kabisa kama uliambiwa chuo ni bata hapa zisahau tu.
2:BARCHELOR OF COMMERCE IN FINANCE
Hapa napo sio mchezo ni kama hapo juu kwani kozi nyingi zinaingiliana na wakufunzi ni wale wale
3:BARCHELOR OF LAW
ndugu yangu hapa napo patamu ni lazima ukomae sana kama unahitaji kutoka na kuwa na gpa kali uwe na uwezo mkubwa wa kuelewa na kumeza vifungu vya sheria na makesi mbalimbali kama yalivyo tatuliwa na mahakama mbalimbali duniani kutana na dr, kartum
4:BARCHELOR OF ARTS IN ECONOMIC AND STATISTICS
Uwe upo vizuri kwenye hesabu na uchumi mambo ya kutest hypothesis miformular kibao itatumika hapa lazima uwe vizuri
5:BARCHELOR OF COMMERCE IN MARKETING, NA BARCHELOR OF ART IN ECONOMICS
Kutana na Aman David na mkorofi mwenzie BA, misuli mizito inahitajika , hizi ndizo kozi maarufu sana katika kitivo cha biashara na uchumi na sayansi ya jamii na lugha,
KOZI LAINI SANA ZA WALA BATA
1;BARCHELOR OF SOCIALOGY
Hapa wew ni full bata town kila day na gpa first class ndo koz zinazoharibu image ya chuo
2; POLITICAL SCIENCE
Kama jina lake jinsi lilivyo imekaa kisiasa siasa ni bata kwa kwenda mbele
3😛UBLIC ADMINISTRATION
Hakuna jipya huku ni starehe kwa kwenda mbele na kukimbia na dada zenu mambo ni marahisi kabisa ukisikia chuo bata ndo hapa
4.BARCHELOR OF ARTS IN ECONOMIC AND SOCIOLOGY
Hii kozi wewe ukicheza ngoma za culture tu unapata koz work
5.FILMS PRODUCTION AND MASS MEDIA
Hapa wewe kipaji chako cha kuigiza tu ndio gpa yako
6.KOZI ZA UALIMU
kawaida huku hakuna ugumu sana ugumu wake ni ukilaza wako tuu walimu wapo fair wewe tu ushindwe kufaulu kutana na BAED wazee wa ujasi wana maneno mengi sana japo lazima ujue hakuna kozi rahisi urahisi unajiwekea mwenyewe na ugum unauleta mwenyewe chuo hakuna bata wapendwa natumai tumekupa mwanga wa kutosha kama utahitaji msaada private kuhusiana na UDOM usisite kuwasiliana na sisi kupitia email yetu
udomnews03@yahoo.com nasi tutakutatulia mapema iwezekanavyo