Msaada wa Journal Paper

Msaada wa Journal Paper

I and myself

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
328
Reaction score
326
Habari za saa ndugu naomba mwenye kujua link zinazo publish journal paper anifahamishe pia gharama na sheria zao wanazo zitumia mpaka waweze publish paper yako.

Maana nataka kuandika paper katika maeneo mawili kati ya social activities au environment management (climate change impact/ livelihood/ adaptation measure juu ya climate change impact) katika sehemu hizo nitachagua moja kuanza kuiandikia.


Naomba ufafanuzi juu ya hizo link au hizo Organization zinazo publish hio journal... unaweza ni pm au ukanitumia kwenye email yangu vicentvicent31@gmail.com

Asanteni sana!
 
Cheki na vyuo, huwa wana majarida ya kitaaluma kulingana na idara husika. Hizo mada zako nadhani ni Idara ya Jiografia kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom