Kipi bora kati ya advance na college wanajama.

Gastone.W.Makishe

New Member
Jul 2, 2013
3
0
Wanafunzi wengi wanao maliza kidato cha nne wanafikiri kuwa kwenda college ni bomba zaidi ya kusoma advance(forn 5 & 6).Je wanaJF kipi bora kati ya advance na college.???

advantages & disadvantege za advance.
advanteges & disadvanteges za college.
 
Kama mtu kabahatisha form 4 bora aende college maana advance ni mtiti,pia inategemeana na comb.mfano wewe unapenda kuja kuwa mwasibu,alaf advance umechaguliwa HKL,hgl,klf ambazo hazna math,BOra uende chuo uanzie ngaz ya chni uhasibu,ilakama umefaulu hesabu vzur unaweza soma comb yeyote chuo utasoma uhasib.pia UKISOMA ADVANCE UNASOMA MAMBO MENGI SANA KWA UPANA,DIPLOMA UNASPECIALIZE,MF MI NILISOMA ECA NA NKIANGALIA WANAOSOMA ACOUNT DIPLOMA NAONA KAMA O LEVEL TU ILA VITU VINGI VYA ADVANCE UKISOMA HATA CHUO HAISUMBUI SANA,TOFAUT NA DIPLOMA.ALAF KWENY MIKOPO INAKUWA RAHSI KWA ALIETOKA FORM SIX PIA NI RAHSI KUINGIA CHUO.ubaya wa form 6 ukifail sana unaanza certificate au diploma kama ufaulu wa wastani.so unakutana na waliopiga shortcut.
 
yaah that is true! Kma unajiamin bora advance! Ila ukifel advance huna tofauti na aliyeishia form4 na kwenda college coz itakubid utumie cheti chako cha o'level! So smetimes 'advance=waste of time', kwa wale wanaobahatisha bahatisha ktka kusoma na kuelewa
 
Nenda advance mkuu kwani hadi raha unakuwa unauza sura kwa madogo wa olevel, Pia advance ni heshima kitaa unaonekana una akili sana, lakini ukipiga chuo unaonekana kuwa mtu uliyeungaunga....
 
Nenda advance mkuu kwani hadi raha unakuwa unauza sura kwa madogo wa olevel, Pia advance ni heshima kitaa unaonekana una akili sana, lakini ukipiga chuo unaonekana kuwa mtu uliyeungaunga....

kwel kibongo bongo ucpoenda advance na ukaenda college/institute i.e dit, wanakuona kilaza hta kma umefaulu, coz watu wamekariri! All in all advance heshimaa, ila mda mwngne inabdi 2badilike hta kupitia college nako unatokaaaaa
 
Nenda advance mkuu kwani hadi raha unakuwa unauza sura kwa madogo wa olevel, Pia advance ni heshima kitaa unaonekana una akili sana, lakini ukipiga chuo unaonekana kuwa mtu uliyeungaunga....

ebana kweli da!
 
yaah that is true! Kma unajiamin bora advance! Ila ukifel advance huna tofauti na aliyeishia form4 na kwenda college coz itakubid utumie cheti chako cha o'level! So smetimes 'advance=waste of time', kwa wale wanaobahatisha bahatisha ktka kusoma na kuelewa

Naam naam naam,huo ndo ukweli.
 
Kama umefaulu vizur advance kwanini uende college? Mi naona ni uoga wa kufeli form six tu, m nakushaur kama upo vizuri kichwani we nenda advance tu, achana na kuungaunga Mkuu.
 
Form 6 utakapfail or kufankiw kumaliza hautakuwa na professional yoyot na kuanza ongza vijan michelemichl co piga instit. zen kul pesa ya dipl. huku ukipiga degree 2gether na watotovijan(frm 6) OK. Maana wanapata shida sana chuo mkopo unapowaishia kwa kufany maandaman ya ktot co juwa kwamb serkli cio baba'ko, kam waweza soma six then anza na biznesi kabla ya kuingia chuo coz wan shida xana hawa vjn wa six balance za chuon hawaziwez co JIPANGEEE
 
mkuu da unavyoandika da,kweli upo college,ukimchukua profesa wa chuo akisoma hapo anakupa zero safi,kaka wanaochangia maada hawapendi uandike hivyo maana kuna watu wakubwa wa makamu na ma dr humu.pili college haipo kwenye direct system ya elimu kibongo bongo,tunapoelekea wata force watu kwenda advance,watakatazwa vyuo kuchukua wanafunzi kutoka form 4 sababu utakuta mwanafunzi yupo form 1 kasha anza kufikiria college eti.form 6 unakuwa na uelewa mkubwa na mpana sema unakuwa hujaandaliwa kufanya kazi practically ila ukipewa training unakuwa feet,nlishangaa sana kuona jamaa angu anasoma diploma ya accounting alafu masomo kama ya o level da hiyo National income walivyoisoma da ukimchukuwa mtu wa form 6 akafanye hiyo uchumi au acount naona advance inapanua uelewa ndo maana unaenda digrii moja kwa moja.MTOA MAADA KAMA UPO FIT PIGA ADVANCE,KAMA ULIBAHATISHA NENDA COLLEGE TU HATA KAMA ULIFAULU VIZURI.
 
kwel kibongo bongo ucpoenda advance na ukaenda college/institute i.e dit, wanakuona kilaza hta kma umefaulu, coz watu wamekariri! All in all advance heshimaa, ila mda mwngne inabdi 2badilike hta kupitia college nako unatokaaaaa
da! kweli bwana

mda
 
na mimi naomba kuliza eti biomedical engineering ina soko bongo?

Job Duties and Tasks for: "Biomedical
Engineer"
1) Advise and assist in the application of
instrumentation in clinical environments.
2) Conduct research, along with life
scientists, chemists, and medical scientists,
on the engineering aspects of the biological
systems of humans and animals.
3) Design and develop medical diagnostic
and clinical instrumentation, equipment, and
procedures, utilizing the principles of
engineering and bio-behavioral sciences.
4) Develop models or computer simulations
of human bio-behavioral systems in order to
obtain data for measuring or controlling life
processes.
5) Evaluate the safety, efficiency, and
effectiveness of biomedical equipment.
6) Install, adjust, maintain, and/or repair
biomedical equipment.
7) Research new materials to be used for
products such as implanted artificial organs.
8) Adapt or design computer hardware or
software for medical science uses.
9) Advise hospital administrators on the
planning, acquisition, and use of medical
equipment. So inalipa
 
Dah ! Yaan xafi saaana mkuu hata mi nimekupata!! Je mtu asome pcb au hata cbg aweza chukua hiyo kitu university??
 
Dah ! Yaan xafi saaana mkuu hata mi nimekupata!! Je mtu asome pcb au hata cbg aweza chukua hiyo kitu university??

Biomedical will require advanced
knowledge in all branches of science
(physics, chemistry, biology),
advanced mathematics (calculus, and
differential equations), and you'll
also be required to know the basics
of engineering including such things
as Thermo-dynamics (how heat
effects fluids), electrical engineering
(circuits), and probably a little bit of
economics as well.
 
Back
Top Bottom