Hivi kweli MIST ina sifa za kuwa chuo kikuu?

Hivi kweli MIST ina sifa za kuwa chuo kikuu?

Joined
Jul 10, 2015
Posts
49
Reaction score
2
Ndugu wana jf najua humu kuna watu ambao wanaweza kunipatia majibu kwa maswali yangu.

Hivi ni vigezo gani vilivyotumika kuifanya MIST kuwa university, maana naona elimu inayotolewa na vyuo vya DIT na ATC ina ubora kuliko ya university. Na ni kweli kwamba MUST hakuna competition, au tu ni maneno ya watu?

Naomba kufahamishwa!
 
Unafahamu vigezo vya kufanya taasisi iwe chuo kikuu? Tuanziw hapo kwanza!
 
mm nafahamu kuwa ni bora wa elimu inayotolewa,ukubwa wa taasisi halafu na idadi ya kozi zinazopatikana. japo cna uhakika sana,ila hivi ndo nilikuwa nafahamu
 
hivyo vigezo ni kwa knowledge yangu ya kawaida tu,ila ambacho ninaamini ni kwamba,university ni zaidi ya taasisi na college, lakini sasa MUST cjaona kama inaweza kuwa na sifa zaidi ya DIT na ACT. mimi hili linanipa wasiwasi maana nilikua kwa kuwa MUST ni university, bac kitakuwa na elimu ya uhakika kuliko taasisi na college
 
Mambo mengne lazma ufanye atleast research ukijiridhisha unachoktafta kujua umeshindwa ndio uje hapa. Ok, sasa nenda Website ya TCU ukaangalie vigezo.
 
Elimu ya Tanzania imeshaingiliwa na siasa, yaani inatia mpaka kinyaaa,unakuta mtu anajiita ana digree tena ya IT sasa bwana mfungulie komputer muulize akuonyeshe RAM iko wapi ama hata processor ni shiiiiiiiida, sijui wanafanya nini huko mashuleni hiki kizazi cha nyoka
 
Nadhani hufahamu historia ya MTC kwenda MIST na sasa MUST.

Hiki chuo kilikuwa na sifa nzuri sana toka enzi za MTC. Lakini kwa ufupi vyuo vya serikali vyatofautiana kidogo sana. Challenges zao ni zilezile, kama upungufu wa walimu, kukosekana kwa pesa, upungufu wa majengo, vifaa, kukosa wanafunzi wenye sifa n.k.

Hakuna anayeweza jivuna kwa mwenzake.
 
lakini mkuu,ukiangalia hata kozi zilizopo MUST na za DIT,DIT kuna kozi nyingi ambazo MUST hawana. halafu nilickia DIT wanatoa hadi masters, wakati MUST hakuna
 
Mambo mengne lazma ufanye atleast research ukijiridhisha unachoktafta kujua umeshindwa ndio uje hapa. Ok, sasa nenda Website ya TCU ukaangalie vigezo.
mkuu ucnielewe vibaya,nimeulizia kwa sababu nimejaribu kufanya research lakini majibu nayopata yananivunja moyo,nimeona labda mnaweza kunifafanulia nikawa na uhakika.
mimi natafuta kujua coz nimechaguliwa MUST ordinary diploma,na nilipapenda kwa sababu nilitaka kusomea mbeya na pia nilijua kwa kuwa ni university itakuwa na elimu ya uhakika. ila watu wengine wanasema kwamba,hiki chuo si kizuri sana kwa sababu competition yake si kubwa kama ya DIT na ATC.
Naomba tueleweshane tu taratibu
 
Ndugu wana jf najua humu kuna watu ambao wanaweza kunipatia majibu kwa maswali yangu.

Hivi ni vigezo gani vilivyotumika kuifanya MIST kuwa university, maana naona elimu inayotolewa na vyuo vya DIT na ATC ina ubora kuliko ya university. Na ni kweli kwamba MUST hakuna competition, au tu ni maneno ya watu?

Naomba kufahamishwa!
must wapo vizuri sana we nenda kapige shule acha kusikilliza story za vijiweni
 
hivyo vigezo ni kwa knowledge yangu ya kawaida tu,ila ambacho ninaamini ni kwamba,university ni zaidi ya taasisi na college, lakini sasa MUST cjaona kama inaweza kuwa na sifa zaidi ya DIT na ACT. mimi hili linanipa wasiwasi maana nilikua kwa kuwa MUST ni university, bac kitakuwa na elimu ya uhakika kuliko taasisi na college

kwahyo taasisi ina elimu ya chini?unaijua MIT ya marekani?
 
diploma piga MUST but degree kapigie dIT..
 
Universities nyingi hizi mpya zimeanzishwa kupeana ulaji tu, maana kikishakuwa chuo kikuu hapo fungu linaongezeka (wapigaji wanajua), tender,SAFARI ZA NJE YA NCHI (Tena wanapanda BUSINESS CLASS) n.k. Ukitoa UDSM na UDOM na kwa mbali SUA na MUCHS (Muhimbili) vyuo vingine vinavyojiita VYUO VIKUU vilipaswa kuwa Idara ndogo ndogo za VITIVO za Vyuo Tajwa (UDSM, UDOM, MUCHS na SUA) wakajifunze Rwanda, Rais Kagame aliviunganisha vyuo vyote vya umma na kuwa na chuo kikuu kimoja tu UNIVERSITY OF RWANDA. Kuleta ufanisi na kubana matumiz yasiyo ya lazima hapa kwetu kila University ina msururu wa VX/V8, wafanyakazi kibao, Safari watu wanapishana airport kwenda kujifunza jinsi ya kuanzisha kozi fulani marekani na Ulaya. Hatareee
 
kwahyo taasisi ina elimu ya chini?unaijua MIT ya marekani?
yap MIT naifaham,wanaenda watu ambao ni ma GT,ndio maana nilichanganyikiwa maana nilijua MIST kuwa MUST imepandishwa hadhi lakini bado kuna taasisi kama MIT za kimataifa. so it means university yaweza kuwa si bora zaidi ya taasisi
 
Kwani ubora wa elimu ni upi ambao DIT na ATC inazidi MUST
 
Kwani ubora wa elimu ni upi ambao DIT na ATC inazidi MUST
kwanza nackia dit wana mpaka masters must hawana.
pili dit ina kozi nyingi kuliko hata must.
sababu nnazofaham ni hizi,kama cko right napenda nifahamishwe lakini hiki ndo nachofahamu kwa utafiti niliofanya
 
asante sana mkuu,naamini ntatoka vizuri na MUST yangu,maana ndoto zangu ni kuja kuwa THE SUPER ENGINEER

Kapige kitabu mist mkuu wako vizur taasisi hiz kuanzia dit, ATC na mist zinachalenji sawa na ubora wa elimu ni the same coz mfumo wao ni huo huo mmoja usisikilize maneno ya vijiweni
 
Back
Top Bottom