Kiluuj JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 692 Reaction score 278 Aug 21, 2015 #1 Mbona Tanzania wanafunzi wa shule za umma wasianze kusoma kiingereza wangali wachanga ili kucompete na watoto wa shule za kibinafsi?
Mbona Tanzania wanafunzi wa shule za umma wasianze kusoma kiingereza wangali wachanga ili kucompete na watoto wa shule za kibinafsi?
R real lyf 2015 Senior Member Joined Aug 13, 2015 Posts 166 Reaction score 27 Aug 21, 2015 #2 Ushawahi kujiuliza ni kwa nin wanajifunza kiswahili
U UGORO87 JF-Expert Member Joined Mar 7, 2014 Posts 824 Reaction score 383 Aug 22, 2015 #3 mtaala hauruhusu labda mpaka wabadilishe sera tna mabadliko ya sasa ni kisw ful mpk chuo kikuu
MOTOCHINI JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 29,105 Reaction score 35,518 Aug 22, 2015 #4 Ngumu hiyo
Kayemba JF-Expert Member Joined Jul 5, 2013 Posts 221 Reaction score 175 Aug 22, 2015 #5 Huwa nawaza sana watu hucoment issues wakiwa wamefikiria kwa kina kiasi gani kuhusu kiswahili na kiingereza kutumika katika mtaala wa shule zetu
Huwa nawaza sana watu hucoment issues wakiwa wamefikiria kwa kina kiasi gani kuhusu kiswahili na kiingereza kutumika katika mtaala wa shule zetu