Davies Davies
Senior Member
- May 20, 2013
- 118
- 12
Wakuu nataka nijue wana tumia sifa gani ili u qualify kujiunga na Diploma???
Msaada wenu jamani
Msaada wenu jamani
Pre entry n kupata average ya above 50 and direct n Kuwa NA c flat ktk pcm +English bt biomedical NA laboratory technology.untkiw uwe NA c ktk biology pia
tuwasubiriApo nime kuelewa mkuu ila mimi nlikuwa na ulizia vigezo wanavyo taka i.e marks zako ziwe vpi ili uweze ku pass pre-entry na kujiunga na diploma.