Tofauti ya FAX na EMS

Tofauti ya FAX na EMS

napenda

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
486
Reaction score
91
Wadau naomba tofauti ya EMS na FAX katika utumaji wa barua, njia zote hizi sijawahi zitumia.

Kuna mtu kanielekeza nimtumie barua haraka kwa EMS leo, sasa nimeiandaa nashindwa nifanyeje kwani hajanipa address ya ems na hapatikani hewani ila fax Namba ya ofisi yake ninayo.

Msaada please!
 
inavyoonekana wataalam hawajapitia huku
 
Fax inafika kama email.
Lkn kinachoenda ni copy ya nakala yako na si ile original
 
inavyoonekana wataalam hawajapitia huku

EMS unatuma kwa njia ya posta huduma hii ni ya uhakika na haraka zaidi na unapewa risiti ukituma mzigo au barua yako...nenda kituo chochote cha posta.
 
Ahaa, nimekuelewa, daa! mbona nitachelewa? maana nilitaka kurudisha form chuon ya maombi st john. na mda umeisha
 
Mkuu maombi ya chuo yanatumwa kwa EMS tena wana deliver mpaka ofisini kwao..fasta tena wahi sasa hivi ofisi ya posta..
 
Kumbe ems ikoje?

ems wao wanaisafirisha hardcopy ya document zako, hakuna umuhimu wa address, unaweza kuandika namba ya simu ya unaemtumia kwenye bahasha na mahali alipo, na namba yako ya cm na ulipo ikifika watamtaarifu uliyemtumia aifate kwa simu na wewe pia utaambiwa, huenda ikawa baada ya siku 2, tena ni vizuri zaid unapotumia ems ukaweka namba ya simu tu bila p.o.box manake ukiiweka hawampigii simu wanaiacha tu kwenye sanduku.
 
Nadhani unamaanisha una Fax number yake,ambayo ni equivalent na namba ya simu ya mezani (landline telephone) mfano kama yuko kanda ya ziwa itakuwa hivi 028-2294179 unaweza kutuma barua kwa fax hiyo,lakini ujue fax haina siri atakayekuwepo ofisini hata kama siyo muhusika anaweza kuisoma.Pia fax ni sawa na simu unatuma hapohapo inafika muda huo huo so long as upande wa pili fax iko active, it's more and more faster than EMS, Ili utume fax hadi utafute huduma ya fax ilipo.kuhusu EMS yaani Express Mail Service ni utumaji wa barua au vifurushi,hii waweza kuandika jina lake juu na mahali anapokaa kama unapajua bila kusahau namba zake za simu. Mfano TATA MWITA, BUNDA-MARA.
 
Xo u mean ems mhusika anapelekewa mzigo up to hand?
 
Umenikumbusha serengeti mkuu, asante nimekuelewa
 
Back
Top Bottom