Ramos Jafary
Member
- Aug 30, 2015
- 30
- 1
naomba msaada kwa anayefahamu, kama umechaguliwa uende ukasome diploma ya ualimu na uliapply koz ya afya ukawa hujaenda ukisubir selection za chuo unaweza ukachaguliwa ?

HYO AFYA ULIAPLY KUPITIA WAPI NA UALIMU KAKUPANGA NAN? NA NI UALIM WA NGAZ GAN? NA VYUO UNASUBIR KWA NGAZ IPI? jaribu kufunguka