Deadbody JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 4,291 Reaction score 6,693 Sep 8, 2015 #1 wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi.
wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi.
NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,945 Reaction score 1,801 Sep 8, 2015 #2 PURE MATHEMATICIAN said: wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi. Click to expand... Zote ziko sokoni, inategemea pia na ipi unayoipenda kati ya hizo na Malengo yako ya baadae.
PURE MATHEMATICIAN said: wakuu naomba kujua kati ya hizi kozi mbili ni ipi inasoko sana.pia ningependa kujua katika kusoma hizi kozi mbili ipi ina changamoto nyingi. Click to expand... Zote ziko sokoni, inategemea pia na ipi unayoipenda kati ya hizo na Malengo yako ya baadae.
Chum Kane JF-Expert Member Joined Sep 16, 2013 Posts 1,168 Reaction score 998 Sep 9, 2015 #3 Civil safi sana.
Worldboss JF-Expert Member Joined Jun 30, 2015 Posts 2,933 Reaction score 3,777 Sep 9, 2015 #4 sio mtaalamu sana kwenye ayo mambo ila naona kama civil iko poa kidogo