vyuo vya Afya ngazi ya cheti na stashahada

vyuo vya Afya ngazi ya cheti na stashahada

Parasite

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
613
Reaction score
580
polen na majukumu wapendwa samahani nilikua naomba msaada wenu nahitaji kujua vyuo vya Afya ambavyo ni vya binafsi ngazi ya cheti na diploma vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICER[C/O]please nawaomben sana wadau nijuzen japo vichache ila vile vyenye low cost simnajua life la kibongo please nisaidieni waungwana.
 
sory wadau sikuwa nimeliweka wazi hili naomba mnijuze vile vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICERS[C/O] samahani sana
 
sory wadau sikuwa nimeliweka wazi hili naomba mnijuze vile vinavyotoa kozi ya CLINICAL OFFICERS[C/O] samahani sana

niaje ndugu. Tatzo lako nisawa na langu. Tafadhar ndugu naomb atakaepata 2juzane. Waweza kunipata kwa 0714419691
 
Back
Top Bottom