Tetesi kuhusu kujiunga na vyuo vikuu

Tetesi kuhusu kujiunga na vyuo vikuu

James Hungury

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2013
Posts
825
Reaction score
612
HBR Zenu Wakuu,
Nataka Kujua Tetesi Za Kweli Juu Ya Watu Walioomba Kujiunga Na Vyuo Vikuu Kupitia Nacte Je Majina Yatatolewa Lini Wandugu?Heshma Kwenu,
 
Tayari mbona toka jana kuna dogo hapa kachaguliwa amo
 
Majina yanatangazwa na chuo husika ulichoomba hivyo kama umechagua vyuo v5 tembelea website za vyuo husika ..unless otherwise system ibadilike mwaka huu...
 
Mwaka huu na majira na msimu huu itabid tuseme msemo mmoja wa marekani.

Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesh a Ulimwengu Kuwa Marekani ni ya Kila Mtu.

Na sisi watanzania Kwa Umoja wet bila kujali tofauti zetu ndogo nyakati hizi ni nizakusema haijalishi kama Lowassa ataleta Maendeleo au la! ni wakati wa kumchagua LOWASSA wa CHADEMA/ UKAWA ili pia pamoja na ILANI elimu bure, katiba mpya, kufungua mawasiliano hasa reli ya kati pia uuonyesha na kuudhihirishia Ulimwengu kuwa Tanzania Siyo ya cicimu pekee.

Tuma ujumbe huu kwa Watanzania wasiopungua 1000 ili kuamsha na kuchochea mabadiliko ya kweli. Fursa hii ya Mabadiliko tukiipoteza itatuchukua miaka 30 tukikumbuka Mwaka 2015 tulijinyima mabadiliko ya katiba, mfumo, maendeleo.

Lowasa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa.

Samahani pia kama utakwazika imebidi kuonyesha Uzalendo kwa Taifa letu lenye miaka 54 ya Uhuru.

Maajabu likipitwa na hata jirani zetu Kenya aliyepata Uhuru kwa kuchelewa miaka 3 sasa ametupita kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, kiuchumi, Katiba Mpya,nk.

Na hata Rwanda iliyotoka vitani miaka ya 90 inatupita ingawa sisi ndio tuliowahi pata Uhuru, kujaliwa Rasilimali hata zisizo duniani mpaka zikaitwa majina yetu kama Tanzanite, mito, maziwa, Bahari-Bandari, vivutio vya utalii, ardhi yenye rutuba rasilimali adimu duniani ili tuanze kukimbia badala ya kutambaa kimaendeleo.

Mkiitwa malofa mnalalamika ona sasa unachokifanya.. tambua kila kitu kina jukwaa Lake usidhani hawa wanaotoa michango yao humu ndani hawajihusishi na siasa bali peke yako tu.
 
Mwaka huu na majira na msimu huu itabid tuseme msemo mmoja wa marekani.

Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesh a Ulimwengu Kuwa Marekani ni ya Kila Mtu.

Na sisi watanzania Kwa Umoja wet bila kujali tofauti zetu ndogo nyakati hizi ni nizakusema haijalishi kama Lowassa ataleta Maendeleo au la! ni wakati wa kumchagua LOWASSA wa CHADEMA/ UKAWA ili pia pamoja na ILANI elimu bure, katiba mpya, kufungua mawasiliano hasa reli ya kati pia uuonyesha na kuudhihirishia Ulimwengu kuwa Tanzania Siyo ya cicimu pekee.

Tuma ujumbe huu kwa Watanzania wasiopungua 1000 ili kuamsha na kuchochea mabadiliko ya kweli. Fursa hii ya Mabadiliko tukiipoteza itatuchukua miaka 30 tukikumbuka Mwaka 2015 tulijinyima mabadiliko ya katiba, mfumo, maendeleo.

Lowasa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa.

Samahani pia kama utakwazika imebidi kuonyesha Uzalendo kwa Taifa letu lenye miaka 54 ya Uhuru.

Acha ujinga wewe!
 
Mwaka huu na majira na msimu huu itabid tuseme msemo mmoja wa marekani.

Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesh a Ulimwengu Kuwa Marekani ni ya Kila Mtu.

Na sisi watanzania Kwa Umoja wet bila kujali tofauti zetu ndogo nyakati hizi ni nizakusema haijalishi kama Lowassa ataleta Maendeleo au la! ni wakati wa kumchagua LOWASSA wa CHADEMA/ UKAWA ili pia pamoja na ILANI elimu bure, katiba mpya, kufungua mawasiliano hasa reli ya kati pia uuonyesha na kuudhihirishia Ulimwengu kuwa Tanzania Siyo ya cicimu pekee.

Tuma ujumbe huu kwa Watanzania wasiopungua 1000 ili kuamsha na kuchochea mabadiliko ya kweli. Fursa hii ya Mabadiliko tukiipoteza itatuchukua miaka 30 tukikumbuka Mwaka 2015 tulijinyima mabadiliko ya katiba, mfumo, maendeleo.

Lowasa Mabadiliko
Mabadiliko Lowassa.

Samahani pia kama utakwazika imebidi kuonyesha Uzalendo kwa Taifa letu lenye miaka 54 ya Uhuru.

Maajabu likipitwa na hata jirani zetu Kenya aliyepata Uhuru kwa kuchelewa miaka 3 sasa ametupita kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, kiuchumi, Katiba Mpya,nk.

Na hata Rwanda iliyotoka vitani miaka ya 90 inatupita ingawa sisi ndio tuliowahi pata Uhuru, kujaliwa Rasilimali hata zisizo duniani mpaka zikaitwa majina yetu kama Tanzanite, mito, maziwa, Bahari-Bandari, vivutio vya utalii, ardhi yenye rutuba rasilimali adimu duniani ili tuanze kukimbia badala ya kutambaa kimaendeleo.

This is off topic.. It's crazy, moderators should deal with this...
 
majina yanatangazwa na chuo husika ulichoomba hivyo kama umechagua vyuo v5 tembelea website za vyuo husika ..unless otherwise system ibadilike mwaka huu...

thankx mkuu,let me check
 
Kaka Mi Nina Diploma Ndo Nimeomba Degree?Kwahyo Bdo Hawajatoa Kwa Degree?

degree nasikia kuanzia next week namaanisha kuanzia jumatatu uwe unachek chek ila ata chuo utakachochaguliwa jina lako pia litaonekanika uko
 
Back
Top Bottom