Mimi nimefungua CA's wameniambia kuwa nimechaguliwa katika moja ya vyuo nilivyochagua lakini watanitumia hicho chuo soon wakimaliza kushughulikia second round.
subir mpaka wakutumie na hii mpaka wakutumie na deadline ni tarehe 30 /9/2015 na hapo ndo watatoa hayo majina baada ya ndugu zetu waliokosa vyuo kujaza ndo kwa pamoja watatoa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.